Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,125
Miaka miwili gheto na kwao najulikana na barua kasoro mali sijapeleka je nimuoe vpMuoe ili aache tabia za kuigiza uongouongo.
Nimekushauri umuoe.Usichelewe.Kwani ndiye anayekufaa hadi utendaji kazi wa akili yake umeuelewa.Ukijidanganya kumtafuta mwingine atakusumbua sana kumuelewa.Huyo anakudekea tu na wala hana tatizo.Kazi ni kwako mkwe!Miaka miwili gheto na kwao najulikana na barua kasoro mali sijapeleka je nimuoe vp
Mkuu Una maanisha baadae atabadilika niendelee kiwa na subiraNimekushauri umuoe.Usichelewe.Kwani ndiye anayekufaa hadi utendaji kazi wa akili yake umeuelewa.Ukijidanganya kumtafuta mwingine atakusumbua sana kumuelewa.Huyo anakudekea tu na wala hana tatizo.Kazi ni kwako mkwe!
Ninamaanisha hakuna binadamu asiye muongo au hana kijikasoro fulani.Huyo anakufaa kwa sababu uongo wake unaujua na hauna madhara.Anakupenda ndiyo maana anapenda kupindisha maneno ili ufurahie hali ya hewa.Mkuu Una maanisha baadae atabadilika niendelee kiwa na subira
Unamaana gani kusema hivyoNaona mnacheza red light green light, mwisho wa game Kuna mmoja atalizwa
Nalo neno [emoji120][emoji120][emoji120]Ninamaanisha hakuna binadamu asiye muongo au hana kijikasoro fulani.Huyo anakufaa kwa sababu uongo wake unaujua na hauna madhara.Anakupenda ndiyo maana anapenda kupindisha maneno ili ufurahie hali ya hewa.
Hapana Mkuu shd tabia sakeUshahisi umemegewa?
Kapoteza hela?๐๐๐๐Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....
Ushauri ni ule ule ....tafuta hela๐
Hiyi kiboko [emoji119][emoji119][emoji119]Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....
Ushauri ni ule ule ....tafuta hela[emoji16]
Mbaya kumegewa tu haya mengine komaaHapana Mkuu shd tabia sake
Haya maneno yanatosha kumaliza mgogoro wa nafsi ulionao mkuu, Jitahidi kuelewa hapaWewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....
Ushauri ni ule ule ....tafuta hela[emoji16]
Na wala asidanganye amekufa tu.Hayo mengine shega tu.Mbaya kumegewa tu haya mengine komaa