Nimfanyaje huyu?

Nimfanyaje huyu?

Wasalamu wapendwa, mabibi na mabwana ! Itifaki imezingatiwa.
Niende Moja kwa moja kwenye mada

Kuna Binti namtongoza Sasa ni mwaka umepita, majibu yake ni kuwa ana mwanamme. Lakini hakosi kunitafuta,Kuna kipindi Huwa namsusa lakini utakuta kanitafuta na kunilaumu kuwa simtafuti naishia kumwambia niko busy. Tunaendlea kuchati namtongoza Tena majibu yaleyale ana mpenzi.

Wiki mbili zilizopita kaanza kuniita baby,baby, namwitikia tunachati tu, X-mas nmemtoa out huyo kaja nkamnunulia nguo, na urembo mbalimbali apendeze .

Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.

Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .🙏

Sbb labda anaona huna hela, tafuta hela utaona yeye ataanza kukutongoza na kukubembeleza, labda huyo msichana anaona utamzidishia umaskini katika maisha yake, yaani tayari anaona kwako maisha hayataenda anavyoona yeye, so achana nae tafuta hela kwanza, wasichana wapo kila wakati.
 
Wewe ni jinsia gani na umri wako ni muhimu tuujue ili tupate pakuanzia kushauri.
Read careful the passage, u will go directly to the advice and techiniques
 
Sbb labda anaona huna hela, tafuta hela utaona yeye ataanza kukutongoza na kukubembeleza, labda huyo msichana anaona utamzidishia umaskini katika maisha yake, yaani tayari anaona kwako maisha hayataenda anavyoona yeye, so achana nae tafuta hela kwanza, wasichana wapo kila wakati.
Pesa sio tatizo Mzee 😊
 
Ashakubali kuchimba kisima Sasa unatka Nini zaidi hapo unauwezo wa kumfamya ata akaachana na huyo bwana mwenzako kwa kufanya Jambo mwenzio akajua au ukimkoleza .

Ila adhari ya hawa watu huwa wakikutana na gumu kwenye Ndoa hulaumu sana na kuona kuwa hakufanya chaguo sahihi
 
Sawa Mkuu wangu🙏
 
Back
Top Bottom