Nimfanyaje huyu: Mimba zote zinaharibika.

Nimfanyaje huyu: Mimba zote zinaharibika.

Amani ya bwana iwe nanyi.

Wakuu nimekuja kwenu nikiwa na jakamoyo, nalo ni baada ya kuwahi kuleta malalamiko hapa kuhusiana na shem wenu ambaye ameshaharibikiwa mara mbili , nilikua natarajia lolote mwaka huu lakini nayo imeharibika, hii ni ya tatu sasa wakuu.

Sijali gharama ninazo/nilizoingia kumhudumia as it is part of the bargain, lakini nahisi kama si mti unaozaa matunda.

Nimeamua sasa kutafuta kwingine. Nimekosea????
Kati ya haya mawili 1jawapo alilifanya÷

1. Ametoa mimba nyingi hivyo kizazi kimechokonolewa na kulegea.

2. Alikuwa ni mpigwaji sana hivyo mikuyati ya urefu tofauti tofauti imegusa kizazi na kusababisha kizazi kulegea.

NB wote pimeni magonjwa ya zinaa.
 
Amani ya bwana iwe nanyi.

Wakuu nimekuja kwenu nikiwa na jakamoyo, nalo ni baada ya kuwahi kuleta malalamiko hapa kuhusiana na shem wenu ambaye ameshaharibikiwa mara mbili , nilikua natarajia lolote mwaka huu lakini nayo imeharibika, hii ni ya tatu sasa wakuu.

Sijali gharama ninazo/nilizoingia kumhudumia as it is part of the bargain, lakini nahisi kama si mti unaozaa matunda.

Nimeamua sasa kutafuta kwingine. Nimekosea????
Hujakosea ila ungetusaidia kujua hiyo miscarriage inatokea ujauzito ukiwa wa Umri Gani?
 
Miscarriage hutokea kwa sababu zifuatazo:

#1 mji wa uzazi kutoweza kuhimili uzito wa kiini tete/mtoto kadri unavyoongezeka

#2 mjamzito kufanya kazi nzito ikiwemo ngono kuzidi /Sexual indulgence

#3 Uambukizo wa maradhi ya ZINAA kabla na baada ya ujauzito

#4 Ajali
Duuu Mkuuuu leo siji kama huu Uzi watausoma Humu wamo wengi hahahaha
 
Mimba 3 unakata tamaa?? Kutakuwa na shida zinazohitaji utaalamu......hujatuambia kama mlimwona gyna ama la, muhimu mkamwone gyna awashauri.
Tafadhali kuwa karibu na mkewe mtie moyo aone ni mambo ya kawaida....watu wengi huwa tunaamini kutoka kwa mimba kunasababishwa tu na utoaji mimba bila kujua kuna factor nyingi
 
Usiache mke bana hilo ni tatizo dogo sana na inatakiwa wote mpate matibabu. Anaweza kwenda kwa mwingine ikakamata vizuri sana ukashangaa. Kinachosababisha hapo inaweza kuwa either kizazi chake hakiko strong sana au kuna michezo michezo anafanyiwa, au mbegu zako hazina nguvu za kutosha. So unatakiwa utest kimoja baada ya kingine na chakwanza ni wewe na yeye kupata tiba sahihi na maombi kila wakati akiwa mjamzito. Au unaweza kuta maombi tu wakati akiwa mjamzito yakatosha kabisa kutatua hilo tatizo na monitoring. Wakati wa ujauzito kuna mambo mengi sana ndo mana wengine pia hupitisha miezi. Dawa ni ndogo sana. Njoo pm
 
Pole ,mwambie akupe ukweli wote isije ikawa anakuficha hawa shemeji zetu wa siku hizi.......
 
Kwanza poleni ndugu, pili usifikiri tu kuwa yeye ni tatizo su ana tatizo, je, umewahi kufikiri kuwa wewe/wote mna tatizo?. Ndio inawezekana kabisa wote mkawa na tatizo wala usishituke.

Inawezekana damu zenu haziendani na pengine hata mkifanikiwa akajifungua mtoto akawa dhaifu pia kufariki akiw mchanga au mdogo (japo yote ni mapenzi ya Mungu, ila sayansi isipuuzwe)

Nakushauri mkapime damu zenu ndugu, unaweza kurupuka ukamuacha ukashangaa kapata jamaa mwingine na akapata ujauzito akajifungua mapacha na huku nyuma wewe ulimtukana utajisikiaje??

Ni vyema mkajua tatizo na hata mkiachana mkaachsna kwa heri wala msikashifiane wapendwa.

Mimi yangu ni hayo nakutakieni kila la heri ndugu.
Jamaa ana tatizo gani wakati mimba inaingia ila baadae ndio inaharibika??
Sio kuwa demu hashiki mimba, anashika ila baadae miscarriage.
 
Muweke bed rest hospital miezi tisa lazima mtapata mtoto, kutafuta mwingine siyo solution na inawezekana damu zenu haziendani
 
badala ya kumpeleka hospital eti unatafuta mwingine kama c roho mbaya na uselfish ni nini? badala yakumsaidia mwenzio aondokane na ilo tatizo eti unakimbilia kwingine nakuombea na uko kwingine usingiziwe mimba idiots
 
Usife moyo kaka kuna kitu wanaita rhesus factor plus au minus mkapime damu utakuta wewe una r+or - mke ana r- sasa mtoto anachukua blood grup lako anakuwa na r+mwili wa mkeo unashindws kumtambua unaona kama mvamizi hivyo unamuua kuna sindano mtu anapigwa kama ana shida hiyo na Anaza vizuri
 
Amani ya bwana iwe nanyi.

Wakuu nimekuja kwenu nikiwa na jakamoyo, nalo ni baada ya kuwahi kuleta malalamiko hapa kuhusiana na shem wenu ambaye ameshaharibikiwa mara mbili , nilikua natarajia lolote mwaka huu lakini nayo imeharibika, hii ni ya tatu sasa wakuu.

Sijali gharama ninazo/nilizoingia kumhudumia as it is part of the bargain, lakini nahisi kama si mti unaozaa matunda.

Nimeamua sasa kutafuta kwingine. Nimekosea????

blood group pimeni pia yawezekana mwingine ni negative mwingine positive so kuzaa hadi mwelekeze cha kufanya
 
Amani ya bwana iwe nanyi.

Wakuu nimekuja kwenu nikiwa na jakamoyo, nalo ni baada ya kuwahi kuleta malalamiko hapa kuhusiana na shem wenu ambaye ameshaharibikiwa mara mbili , nilikua natarajia lolote mwaka huu lakini nayo imeharibika, hii ni ya tatu sasa wakuu.

Sijali gharama ninazo/nilizoingia kumhudumia as it is part of the bargain, lakini nahisi kama si mti unaozaa matunda.

Nimeamua sasa kutafuta kwingine. Nimekosea????
Umekosea Mkuu,mm ilinitokea Mara 4 ila sasa mambo shwari
 
Mimi pia nilikuwahi kuharbkiwa mimba mbili lakn sa hivi mungu mwema nina mtoto... Nendeni hospital kubwa kwa uchunguzi zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom