Nimfanyaje huyu house girl wangu

yaan we bonge la popompo,unataka kupingana na usem huu "in alcohol there is a wisdom"?.
Sasa fanya hivi ili upate msamaha kutoka kwa muumba wako,
mwite mkeo pamoja na Hg wako pamoja, huku umepiga magoti mueleze mkeo kila kitu,muombe msamaha kwa kosa ulilofanya. Nadhan atakuelewa flesh tu,
then endelea kupiga kilaji.

wewe unaelekea hata shemeji yako ukimuona unamfukuzia,yani umekuahuna mana hatakidogo ukishatembea na mfanyakazi heshima itatokea wapi tena? au unasingizia pombe kwahiyo wahudumu wa baa hujawabakisha,sasa unataka kufisidi na house girl uongeze number sawa sawa alivyo kukatalia sasa umebaki uso mdogo mtu mazima umetahayari,kama unaipenda sana kwanini hukumwambia mkeo akarejea nyumbani ukajilia vyako,

Swali sahihi hapa ni hausigeli akufanye nini baada ya 'jaribio la kumbaka'.Ulitaka kumbaka halafu unauliza umfanye nini ? hebu kuwa na utu muombe msamaha na muahidi hutarudia tena,kufanya kazi kwako hakumpunguzii utu wake na kosa lako halifutiki eti kwakuwa umemuajiri. JISHUSHE,KUWA MPOLE WE 'MBAKAJI'.

Swali sahihi hapa ni hausigeli akufanye nini baada ya 'jaribio la kumbaka'.Ulitaka kumbaka halafu unauliza umfanye nini ? hebu kuwa na utu muombe msamaha na muahidi hutarudia tena,kufanya kazi kwako hakumpunguzii utu wake na kosa lako halifutiki eti kwakuwa umemuajiri. JISHUSHE,KUWA MPOLE WE 'MBAKAJI'.
Uporoto nimependa ushauri wako, amwite na amwombe msamaha kwa yaliyotokea na asikubali huyo msichana amblackmail, awe na msimamo kama baba mwenye nyumba, sababu akiendelea kununa mama atagundua tu

Uporoto nimependa ushauri wako, amwite na amwombe msamaha kwa yaliyotokea na asikubali huyo msichana amblackmail, awe na msimamo kama baba mwenye nyumba, sababu akiendelea kununa mama atagundua tu
Nawashangaa wengi waliotangulia wanakuwa upande wa uonevu si haki kabisa,imefikia hatua ya h/g kumdharau/kutotii amri halali kwa uzembe wake wa kutotatua soo hili usiku uleule au asubuhi yake.Mazahausi lazima kahisi kitu au anakula taimingi muda huu.

OFFTOPIC: imebaki miaka 2 na miezi kumi ileee ahadi yetu lol!

Mbona tunanyoosha vidole vingi kwa jamaa wakati ameshajitambua , toeni ushauri bana
kama kusalitiwa mbona wengi tu humu mmeshasalitiwa na mkasamehe
OKOENI NDOA HIYO, WATOTO NDO WAHANGA WA KWANZA na wala sio huyu jamaa

Nimeomba ushauri kwa baadhi ya marafiki wengine wananiambia nikitaka niwe salama eti nihakikishe natembea nae na wengine wananiambia nimshawishi mama tumfukuze kazi.

dhambi juu ya dhambi ni kuchochea matatizo.........................ungama kwa mkeo na umweleze ukweli................na ahta huyo binti baadaye ashirikishwe........................................ajue umetubu na hutarudia tena......kumfukuza ni kumdhulkumu haki yake ya kufanya kazi.....................Muumba hata kuacha utese hapo...........................atakushughulikia tu...........................kutembea naye ni kuzini a utakuwa umeruka maji ukakanyaga matope...............................only the truth will set you free....................

yaan we bonge la popompo,unataka kupingana na usem huu "in alcohol there is a wisdom"?.

Sasa fanya hivi ili upate msamaha kutoka kwa muumba wako,

mwite mkeo pamoja na Hg wako pamoja, huku umepiga magoti mueleze mkeo kila kitu,muombe msamaha kwa kosa ulilofanya. Nadhan atakuelewa flesh tu,

then endelea kupiga kilaji.

“no one does wrong knowingly” hii ni falsafa ya kiyunani, mkuu una bahati Mungu amekusimamia kutokutekeleza kosa, pia una bahati ya kulijua kosa, ufuatao ni mpangilio wa uliowakosea 1. wewe mwenyewe 2. MUNGU 3. mkeo. naamini hg hukumkosea kwani hakukuruhusu umkoseshe amkosee na MUNGU pia. PATANA NA MKEO JUU YA DHAMIRA YAKO OVU Ukiisha kwisha msimulia pasipo kisingizio chochote, akiwa na amani moyoni jongeeni kwa ruhusa ya MUNGU mbele zake mtubu na kujutia kosa hilo, kisha mumtemde hg kama atakavyoshauri mkeo, mshukuruni, mpongezeni, mzawadieni kabla ya kumtenda sawasawa na mapenzi ya mkeo, usitende kosa tena!!!

Pole sana mkuu. Jaribu kukaa naye if possible,mwombe sorry kwa kumwambia kuwa pombe ndo zilisababisha hayo yote. Tell her kuwa,hiyo ni ajari iliyosababishwa na pombe na kuwa hutarudia tena huo ujinga.I think atakuelewa tu provided ni kweli ulifanya hayo ukiwa chicha! Usimfukuze kabisa sababu kwa kufanya ivo utazua mengi zaidi na hii ni pamoja na unyanyasaji!!!!

mkuu, usidanganye chochote kuhusu pombe ,kwa sababu hakuna mwenye kufikiria sawa atayenunua hiyo story ,
kamwambie mkeo ukweli tu kwamba ulizidiwa na matamanio na ilikua ni kazi ya SHETANI tu, kwa kuwa umeshatambua kosa
bila shaka mke wako hatakuelewa tu coz wanawake wengi wana moyo wa huruma .

safi sana. Unavuna ulichopanda, usijifanye kusingizia pombe, hiyo ilikuwa plan yako ya mda mrefu. Umeshindwa umebaki na aibu.. Hongera zake huyo h'gal...

Chukua huu ushauri mwambie mke wako hivi...."Mke wangu wakati narudi nyumbani nilikuwa nimelewa nikamshika house girl wetu kwa nguvu ili nimtafune ukiona amenuna ujue hilo ndio tatizo nilimuomba game akaninyima kwahiyo unaonaje tumuache aendelee au tumuachishe kazi" mwambie mkeo ndio anafaa zaidi wala usiogope

mhhh!! haya mambo hata ukiwa na akili timamu yanatokea ukiyaendekeza!!!!! we endelea tu kusema ulevi kesho utasema shetani, keshokutwa utasema hujui ni kwa nini ulifanya hivyo aibu hiyoooooooooo.

Back
Top Bottom