Nimfanyaje huyu baba?

Nimfanyaje huyu baba?

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Mambo wakuu
Leo nmekuja kiutu uzima coz wanasema mie cjui utoto vikapanda vikashuka

Ni hivi?kuna baba mmoja huu ni kama mwezi wa nne sasa kiukweli anaonesha ananijali sana,na kwa vitendo na maneno yake inaonesha ananipenda kutoka moyoni kwani amenifanyia mambo (siyo yule niliyewahi kumzungumzia apa kipnd cha nyuma )

Mengi tu mazuri na hajawahi hata kuniambia maswala cjui ya kuonan wapi wapi huwa ananiomba antoe lunch kama sna nafasi nkimwambia anaelewa kifupi hana haraka na mimi anadai ana malengo na mm ila sijawah muuliza n malngo gani nafaham ana mke ila familia ipo nchi ya jirani yy huku yupo kikazi Tu.

Huwa ni mteja wa ofisini kwangu basi akija akikuta naongea na mwanaume au namfanyia kazi mwanaume badae atapiga simu ooh roho inaniuma sana coz I love u!

Basi me namshangaa coz cjajicomit kwake hata kidg lakn namshangaa
Sometmz nafikiria nimfanyaje huyu baba kiukweli mimi simpendi na nilishamwambia lakn the way anavyojitoa kwangu smtmz nawaza how can I du aniepuke.

Nishaurin nifanyaje wapnda
NBA sy lazma uchangie kama huna la maana na siyo lazma pia usome kama nakuboa okay??
 
hiki nawasifu wanawake mnatuhurumia sana mtu akilia lia tu unaona anakupenda sasa mpe papuchi uone hapo ofisini humuoni utakuwa unampigia badala ya kukupigia

hayo ndio maisha yetu
 
hiki nawasifu wanawake mnatuhurumia sana mtu akilia lia tu unaona anakupenda sasa mpe papuchi uone hapo ofisini humuoni utakuwa unampigia badala ya kukupigia

hayo ndio maisha yetu

Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

we unampenda au humpendi?
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

haya naona hutaki ushauri umekuja na lako kichwani haya mpe ili akuoe uwe mke wa pili
 
Back
Top Bottom