Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,047
Ingawa mimi nmetoka bongo sitaman kudate wa bongo maana wana maushamba sana na tena sio warembo kama wazungu wananiboa sana.wana show mbovu sana.
Udhaifu wake ni saund tuh za kimchongo.leo nimejilia tunda kiurahisi tu na gharama niliyotumia tu ni laki moja na nusu tuh. wadau toen hela mchaga haliwi bure kwake n hela tu
- Nasian Ressy
- Replies: 4
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Naona unawala hadi wazungu wa kichaga sio...