Nimezodolewa na manesi

We si nilikupa kadi ya mchango ukabadilisha na line yako ya simu kabisa?
Buji lini ulioa bila mi chelulute kujua?lol acha urongo!kama umekuta mkeo tigo hakuna basi mshukuru Mungu pengine ndo kilema chake hicho,watu wasianze kumwazia vby hapa bure,mbn wengine weengi wanavilema bali hawajijui?wengine chururu imepinda,wengine imekaa kama upinde,wengine kama inajipu mbn hawajisemi au coz hawajuhi kama ni kasoro?ebu muache mama wa watu ale mtori mwingi kurudisha afya kwa kazi ngum.
 
Ha ha ha Asprin wewe unaweza kuwa unajua zaidi kwa vile kilocation uko maternity ward :D
 
Kaka hapo ni jino kwa jino. nwe kamata demu wa mtu mpe kitu. Acha kulalamika, mkaribishe wifu home na kiumbe chake lakini hasira zote ziende kwa wake wa majirani zako
 
Wanasema kuwa eti mlango wa nyuma mkubwa sana, akashindwa kusukuma mtoto, akawekewa vitambaa na pamba nyingi ili kupunguza ukubwa wa mlango huo wa chai maharage
Wewe umekuja hapa JF kumdhalilisha mkeo tu, hakuna jingine. Kwanini usiyamalize wewe na mkeo, uko uko nyumbani kwenu, au kwanini usiwaite wazee wake na wako mkayaongea? Kuyaleta hapa adharani ndio iweje mkuu?
 
Ha ha ha Asprin wewe unaweza kuwa unajua zaidi kwa vile kilocation uko maternity ward :D

Niko huku nawahudumia kina mama.

Mwambieni mwanachama mwenzenu, watu wamejisevia ndogo ya mkewe. Acheni kumzuga. Yeye aamue moja, ampige chini au naye ajisevie ndogo ya mkewe. Huo ndio ushauri wa babu kwa leo.
 
Kaka hapo ni jino kwa jino. nwe kamata demu wa mtu mpe kitu. Acha kulalamika, mkaribishe wifu home na kiumbe chake lakini hasira zote ziende kwa wake wa majirani zako
Jirani zake wamemkosea kitu gani... Ushauri mwingine bana... aaaah!
 
Busara zenu za wazeee, si sawa, nyie mmesoma, mna exposure na mnautashi wa hali ya juu.
Alipoamua kulileta hili swala hapa hakuwa na nia ya kumdhalilisha mkewe, ila aliona hapa ndio kwenye kisima cha ma great thinkers.
Pia akaukumbuka ule msemo kuwa mficha maradhi kifo humuumbua.
Ukiwa na dukuduku, ukalisema, moyo hutulia na machungu hupungua moyoni.
Wewe umekuja hapa JF kumdhalilisha mkeo tu, hakuna jingine. Kwanini usiyamalize wewe na mkeo, uko uko nyumbani kwenu, au kwanini usiwaite wazee wake na wako mkayaongea? Kuyaleta hapa adharani ndio iweje mkuu?
 
Kaka hapo ni jino kwa jino. nwe kamata demu wa mtu mpe kitu. Acha kulalamika, mkaribishe wifu home na kiumbe chake lakini hasira zote ziende kwa wake wa majirani zako

Unaonaje akianza na mkeo/mumeo?
 
mie kwanza ningeanza kwa kuwashitaki ma nesi .........................mameniondolea amani wakati kimsingi kazi yao haiwaruhusu kunipa mie maelezo hayo :D
 
hebu ongea na invizibo aturudishie kale kakitu ketu. Nimekumisi ujue.:A S angry::A S angry::A S angry:
 
naona unataka kuivunja ndoa ya buji tena changa,basi ushauri leo buji ukirudi hme kaongee na mkeo vzr alafu yy akuandalie na ww umwangalie ili tujue na ww huna hicho kilema?@Buji
Msimdanganya member mwenzenu wa JF.

Huyo jamaa mkewe watu walikuwa wanajisevia ndogo. Acheni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Busara zenu za wazeee, si sawa, nyie mmesoma, mna exposure na mnautashi wa hali ya juu.
Alipoamua kulileta hili swala hapa hakuwa na nia ya kumdhalilisha mkewe, ila aliona hapa ndio kwenye kisima cha ma great thinkers.
Pia akaukumbuka ule msemo kuwa mficha maradhi kifo humuumbua.
Ukiwa na dukuduku, ukalisema, moyo hutulia na machungu hupungua moyoni.
Hakuna great thinker humu bana... Basi ajuwe sasa kuwa uku ndiko kumdharirisha mkewe... Na nyie mnao jiita eti ma-great thinker msiwe na tamaa ya kujuwa siri za watu majumbani...!

Huyo bint ana wazee wake na yeye ana wazee wake... hayo ni masuwala ya kifamilia na si ya kwenye kadamnasi kama hapa... Tujifunze kuwaheshimu wake na waume zetu.
 
Sidhani kama itasaidia. Cha muhimu hapo ni wewe kuyamaliza na mkeo, akwambie kama huo mlango wa chai maharage ulitanuliwa na baiskeli au kazi nzito za shambani
mie kwanza ningeanza kwa kuwashitaki ma nesi .........................mameniondolea amani wakati kimsingi kazi yao haiwaruhusu kunipa mie maelezo hayo :D
 
Usiwaamini sana hao manesi wewe mpokee mkeo kwa upendo na bashasha zote kwa kukuletea binti mzuri halafu akishapona mtakapo anza kuchakachuana basi wewe hapo ndipo upime OIL kama ipo ana haipo ndipo utajua ni kweli ulio ambiwa na manesi ana walikosea wakakupa habari za mgonjwa mwengine!
 
hebu ongea na invizibo aturudishie kale kakitu ketu. Nimekumisi ujue.:A S angry::A S angry::A S angry:

yaani we acha tu.......y is it taking so long? :A S angry:

INVIZIBO una kesi kubwa sana uje kujibu.
 
Usiwaamini sana hao manesi wewe mpokee mkeo kwa upendo na bashasha zote kwa kukuletea binti mzuri halafu akishapona mtakapo anza kuchakachuana basi wewe hapo ndipo upime OIL kama ipo ana haipo ndipo utajua ni kweli ulio ambiwa na manesi ana walikosea wakakupa habari za mgonjwa mwengine!

Kama anatoa ndogo, sijui kama huyo binti aliyeletwa atakuwa MALI ya mleta mada. Sijui nimesema.....:tape::tape::tape:
 
Back
Top Bottom