naomikaje
Member
- Jan 24, 2008
- 7
- 0
I wish I knew kaka
Nami nilikuwa sifahamu kama migodini umeme bwelele, wakati wanakomba madini tu huku tukifaidika kiduchu, duuuuuuuuuuuuuu
I wish I knew kaka
Acha kukurupuka. Kamati imetoa mapendekezo kibao. Na kama umesoma hiyo article kuna mapendekezo ya sasa, kati, na muda mrefu. ie long term plan. Article ya Tanzania Daima imeweka only one pendekezo which is a short term. Subiri hapa hapa, in one day or two, InshaAllah---u will read the whole kamati report then utoe dukuduku lako. And I guarantee you, those are solutions to fix umeme.
Muulizeni Mnyika, yeye alikuwemo kwenye hivyo vikao.
And u listen to Mbowe, Regia Mtema, Slaa, Sugu, Lema??
Mnyika ni member wa kamati na kamati haiwezi kutoa recommendations without a consensus. Haya ni matakwa ya Kamati sio January Makamba. Maybe ya can't hear me because you are unwilling to listen and your idolatry to Chadema is probably plugging your masikio.
Mwanakijiji,
Umesahau Misri ilikuwa na utawala wa dharura kwa miaka 30?
umeona eeehh mzeee mkulima, hata mimi najiuliza sijapata jibu.Nini kinaendelea nchi hii na hawa jamaa wa madini na report iliyotoka juzi kwenye ukaguzi zinaonyesha wanalipa na hela haifiki inapotakiwa, nazidi kuchanganyikiwa tu.Kwanini huko nyuma makampuni ya madini hayajawahi kukatiwa umeme wakati wa Tanzania wamekuwa wakipata adha hii miaka nenda rudi?
Inaonyesha kweli nyie wachache humu JF na nchini kwetu hamjui "uchumi" wala kitu kinaitwa "solution" kamati wanakaa siku 12 kuzungumzia jinsi ya kupunguza megawatts za migodini na kuongeza uzalishaji IPTL kama solutions kwa depth ya tatizo la umeme nchini Tanzania. Kwani Tanesco hawajagundua migodi haiitaji hizo megawatts au kuongeza fedha za mafuta? Kazi ya mkurugenzi wa Tanesco ni nini? au Hii kazi kapewa January pia. Mpaka sasa tunaona wananchi wanaoipenda Tanzania wanapinga Dawans ndani ya Tanesco, they don't want to hear this word anymore.
TATIZO LA WANASIASA WETU NI KUJIFANYA WANAJUA KILA KITU KULIKO WENYE TAALUMA YAO!
Taaluma Bongo?.....acha kutuyeyusha wewe. Hao unaowaita wataalam walikuwepo wapi miaka hii sita iliyopita?
ongeeni na mtoe bla bla zote kama watakuwa wamevunja kanuni za nchi kwa kuingilia madaraka ya tanesco au wizara watanzania hatutaki kujua tunachohitaji umeme. kama makampuni ya madini yatapunguziwa umeme ili sisi tuweze kuishi kama zamani kwetu ni neema hatutaki kujua kama makamba na kamati yake wameingilia madaraka ya raisi au ya waziri mkuuu tunachohitaji ni umeme procedure baadae period.
Taaluma Bongo?.....acha kutuyeyusha wewe. Hao unaowaita wataalam walikuwepo wapi miaka hii sita iliyopita?
Nadhani umesahau kuwa hawakupewa nafasi ya kusikilizwa pale suala la umeme lilipogeuzwa kuwa dharura