nimezini na mke wa mtu

nimezini na mke wa mtu

daaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho naenda kanisani tena nimepagwa kusoma neno la mungu, roho inaniuma kweli kuvushwa na mke wa mtu je jamaa angenikuta ningekuwa na wakati gani na ananipata vizuri tu as a friend, ila demu yuko pw sana tena sana nimefaidi japo kwa woga na yeye amefurahia mapigo yangu kweli jamani mke wa mtu ni mtamu lkn usishike, roho inaniuma bc tu ngoja nilale Mungu huyu, naomba unisamehe tu
Jinga sana ww
 
We t..mba tu mkuu maisha yenyewe mafupi

MAKU NI HAZINA YETU SISI WANAUME.
 
Kwani jinsi ulivyoelezea, jamaa tayari kesha kustukia! Kazi kwako!
 
Ukisha soma neno bas utatuwekea hapa na si tulisome
 
Viroba at work, usiingize mambo ya parents kwenye upuuxi km huu ww umelelewaje?

uzini wangu wote sijagusa mke wa mtu nahisi uchafu tu.

we mpuuzi huyu kamtomba mke wa mtu si parents hiyo?rudi shule,ndo mana nikamkumbusha ukila jiandae kuliwa rules of engagement inaitwa,

wa kolomije hamuwezi kuelewa
 
Sawa tuma salam kwa watu 5
 
Hivi kweli kuna mtu (si mtoto si mgonjwa) ambaye hajawahi kuzini na mke/mume wa mtu katika dunia ya leo?
mi si mgonjwa si mtoto sijawahi hata kutamani mke wa mtu,nakumbuka mmoja tu aliwahi kutegesha nikagegeda mkigoma yule akahama kwa mumewe bila taarifa na kuja kwangu nikamrudisha kwa mumewe.
 
daaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho naenda kanisani tena nimepagwa kusoma neno la mungu, roho inaniuma kweli kuvushwa na mke wa mtu je jamaa angenikuta ningekuwa na wakati gani na ananipata vizuri tu as a friend, ila demu yuko pw sana tena sana nimefaidi japo kwa woga na yeye amefurahia mapigo yangu kweli jamani mke wa mtu ni mtamu lkn usishike, roho inaniuma bc tu ngoja nilale Mungu huyu, naomba unisamehe tu
Hata muda wa kwaresma unashindwa kujiepusha na hayo mavitu mkuu?
 
yaani mambo haya unaweza cheka sana

mi nilipata manzi flan akaja mjengoni mapema (saa 3 asbh) nimekula mzigo anasema hata kaa sana anataka kwenda kusali badae

wewe nao umetoka kuzini unasema kwenda kanisani yaani ni vurugu tupu.

uzinzi mnaupenda, ila mnajificha kwenye kivuli cha kusali
 
Mwanao,mkeo,dadako,mamako ataziniwa hadhalani.Nenda kamuombe msamaha mwenye mke kabla hayajakukuta.
 
Kwa kufanya hivyo maana Yake umejichukulia namba ya usajiri na umepanga mstari wawagonjwa,wawatu watakao fanyiwa wake zao na wanaume wenzio ,pengine watakao fir....a Siku moja,endelea tu
 
Back
Top Bottom