Nimezila chakula, njaa inauma hatari

Nimezila chakula, njaa inauma hatari

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Asubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika

Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge

Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya

Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute

UPDATE

Nimeamka na njaa yangu nimeenda kunywa supu, kwa alichonitendea jana siji kuzila tena chakula ila siku zake za kupigwa vibao zinahesabika. Siku akijichanganya tu lazima nimshikishe adabu
 
Wanaume wa dar hata kula ubembelezwe?? Sie huku kwetu tukifika tunaulizia kama wameivisha tunakula tunashiba baadae tunaelekea kugegeda mzigo.. sasa we na njaa yako hiyo utagegeda kweli?? Na usipo gegeda kila siku ukazila kula hata mwezi .. si utapigiwa??
 
Asubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika

Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge

Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya

Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute
Toka nje piga miluzi hadi kwenye chips, halafu ukirudi unakuta katia mlango komeo wamezima na taa wamelala, ili kesho uje umepasuka kabisa! Jokes , jitie utani wa ghafla na ucheshi mwiiiingi huku unapakua msosi
 
Sasa hapo hujachelewa bado mapema jifanye mama furani naomba uniwekee chakula Nile kuna kazi nataka nalizie nikitoka kuoga.....hakikisha usoni unakuwa silias ndio salama yako....tofauti na hapo tunasubiri thread yako asubuhi ya kukosoa mafundi walivyokosea kutia bati vizur kwenye nyumba Mara misumali haikukamilika idadi ..wakati nyumba umejenga miaka minne iliyopita idadi ya misumal iliyotumika unajua leo
 
Mwambie mkeo akuandalie chakula unaskia njaa.. hayo ndio majukumu yake.. alafu wanaume wa siku hizi unawaogoba wake zenu kama wamewatolea mahali.. mtume akuandalie chakula wakati wowote hata saa 8 usiku..ndio kazi yake
Kha! We jamaa mbabe wewe! Alafu unachoongea ni kweli. Yani vidume vya siku hizi ni vioga mbele za wake zao! Sijui wamelishwa nini!
 
Back
Top Bottom