Enjoy Bibi lao.Life is too short,kujibana bana mara koona inakunyanyua.Umejuajeeee.....??
Yaaanii, mbilinga mbilinga zote za ujana zimeisha tumebaki tunalishana bakulutu tuu yaani swallowing cherries and gellys....
Yaani ni raha ndani ya rohoo, tabasamu naona limenifika kwenye masikio aahahahahahahaaa
Acha nifurahi bibi mie, kufa kunoga utamu mnooo.
Mwenye kuelewa anieleweshe uyo dadii ni baba huyu wakumzaaa ama ni wale masugar dad?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaawwwww Kasie maungo yangu mieeee....eheheheheeeeeeAahahahahaa visa vya Bi. Kasie havina udhia wala kadhia ni Mahabat tuu yasiyo na madhara kwenye maungo eehehehee
Salamu zimemfikia, nawe nifikishie zangu huko ulikooo.
Kibusu flani hivi cha uchokozi kikufikie halafu ukifumbua jicho wakonyezwa ahahahahaaa
Kwaheeriiii.😉
Kumbe dadii ni mzee wangu kachanyikiwa hadi anadai hadi zile m2 za wemboo zirudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda Kiki inakua active na mapenzi unajua ni muda gani over 50 yrs these time wanaume wengi wanakuaga free waliishatafuta pesa na watoto wamemaliza vyuo au wapo makaak huko na familia zao hapo wanaume wana anza tena kuwaza mapenzi Ndio maana wasichana wengi wanakuaga huko! Vijana wengi 30-40-45 wengi wanapambana kuweka mambo sawa na kulea watoto kusomesha sio rahisi kuwaza waza wanawake mara nyingi tunaweza pale dushe linahitaji tulizo. Nakuelewa sana unapomuwaza huyo dadii wako uliemkabidhi chemba zote nne!! Akili yake inahitaji watu kama wewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nimechoka
Kasie unajua umemfanya dingii atutelekeze nyumbani.Ni siku ya arobaini yuko kikazi hatumi hela kumbe wewe ndo unamchuna.tuonee hurumaUsijali, namtuliza taratibu na asali ya Tabora na karanga mbichi. Muda si mrefu atakuwa sawa, acha nimpunguze dozi.
Kasie unajua umemfanya dingii atutelekeze nyumbani.Ni siku ya arobaini yuko kikazi hatumi hela kumbe wewe ndo unamchuna.tuonee huruma
Sent using Jamii Forums mobile app