Msaada wa maombi ndio unahitajika zaidi
Nisameheni kwa muandiko mbaya. Bado Lerner hapa JF.
Usiku mwema wapendwa!
Ni mtu mkuu. Kuna pahala nimesema Bar Maid sio mtu?
Ahsante sana kwa nasaha yako mkuu. Niseme tu nitatafakari zaidi.Shida za dunia hii wakati mwingine hupelekea watu kufanya kazi ambazo hata hupunguza heshima ya utu wao! Usimuhukumu huyo au mwingine yeyote kwa kigezo cha mazingira ! Utu na tabia yake vishike hatamu katika tafakuri yako na baadae maamuzi!
Pale mwishoni mkuu nimeeleza kuwa mazingira niliyokutana nae pamoja na mazingira ya kazi ndio vyanipa wasiwasi mkuu. Ushauri wako nimeuelewa sana mkuu. ThanksUkijisifu hakuombi hela wakati alikuchaji kwa huduma ya ngono siku ya kwanza mmekutana, inakuwa funny hivi. She could be finessing you to put a rock on that finger bruv. Anyway, kama tatizo pekee kwako ni kazi yake, then mtafutie uliyo comfortable nayo, anaweza kuwa ndiye yule uliyepangiwa.
Uko sahihi sana mkuu. ThanksHili swala ni wewe sasa, ukumbuke tu, mapenzi kabla ya ndoa na ya kuishi pamoja ni tofauti kabisa na huu urafiki wenu wa mapenzi, maisha yenu yatakuwa tofauti kabisa, na wakina mama wakiingia kwenye boma huwa wanabadilika kuliko! Na ni lazima wabadilike maana hautakuwa mji wako tena bali wenu, wewe ndiye wa kuamua, ila jiandae kwa mabadiliko makubwa maishani mwako..