nimezaa na shemeji yangu

Huyo mumeo analijuwa hilo na ndio maana akakuletea mdogo wake uzae nae.

Najiuliza, kama mbegu zake hazina rutuba, ni vipi mkewe wa kiarabu awe na watoto sita? au wote si wake?

Duniani kuna mambo!
nikifikiria hili ndio nazidi kumuonea huruma mwarabu wa watu,
 
hii story itakuwa ya kweli ,kwasababu profesa kaisi kweli namjua anahusika na magonjwa ya kina mama ikiwemo infertility but ofcoursev saiv amestafu.

kumjua dokta sio kigezo. Mbona hata mimi naweza nikaunga unga habari nikakupachikia na jina kubwa ili niipe uzito habari yangu.
Toa ushauri lakini.
 
Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
.Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.
possible una pschiatric problem and for sure you need to end this once and 4all na hivyo ulivyoanza kufeel remorse.
duh!but you seems.............................................
 
Majimshindo na uporoto mmesahau kuwa kuna watu huwa wanapata matatizo yanayopelekea ashindwe kuzaa.
Inawezekana hao watoto aliwapata kabla tatizo halijamkumba.
Mara nyingi kama ulishawahi kuzalisha tatizo linaloweza kukupata linaweza kuwa la kudinda tu na kwasababu mbegu zako ni salama mkeo anaweza pandikizwa na akazaa.Kuna wanaume anatoa shahawa lakini hazina sperms kwahiyo hawezi zalisha,kuna wengine sperms zao hazina nguvu wanapewa dawa na anazalisha.
Ni nadra sana mwanaume aliewahi kuzalisha mbegu zake zife kabisa.
 
Hivi huyu Kinu anajaje kama watoto siyo wa mume halali. Kutembea na shemeji siyo uthibitisho kwamba yeye ndo katia mimba. Sometimes this business is psychological. Wakapime DNA kwanza, vinginevyo inawezekana hawa wanakulana ngono hivyo mama anapata tiba ya kisaikolojia kisha mimba ya mumewe inaingia
 
We endelea kupanda tu, utavuna yatakapo komaa, na ndio utajua kwa kuyahifadhi...
 
Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
.Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.

Yaani wewe hujashtuka tu kuwa kaka mtu anajua kinachoendelea? na hata kumleta ukae nae huyo dogo na yeye kwenda uarabuni kwa muda ilikuwa ni mpango mahususi ili mdogo mtu akuzalishe...............inavyoonekana hata wale watoto 6 wa bi mkubwa mimba alizitundika huyohuyo bwana mdogo..........wewe tulia tu, ili mradi umeshakubali kutumika kama mashine ya kuzalisha watoto ili ufaidi mali za huyo bwana basi endelea tu kuzaa na huyo dogo mpaka wafike 6 kama kwa bi mkubwa.

Ukipanda kisamvu utavuna kisamvu!
 
Sasa kwanza umeshazaa au bado una mimba??maana hapo bado sijaelewa vizuri,pia umeshazaa na mdogo na wewe ndio uliomba kutiwa mimba sasa unataka ushauri wa sisi tukuambie kwamba umwambie mmeo au tukae kimya??
 
Kinu,

Huna sababu ya kuwa na wasi wasi. Hao ndugu wanajua kinachoendelea na inawezekana waliafanya njama kuhakikisha hupati msongo wa mawazo na kutafuta wanaume wa nje wakuzalishe.

Wewe tulia ulee watoto. Kitanda hakizai haramu na kwa vile mumeo anawapenda watoto wa mdogo wake usiwe na shaka. Utaenda kuungama kwa Mungu kama hiyo nafasi utaipata.
 
mmmh,hakuna aliekamilika,ila inataka moyo kwa ulioyafanya.kama yeye anajua sperm zake hazina nguvu tena,huwa hakuulizi kuhusu ujauzito?,maana hainiingii akilini.au na yeye anajua kinachoendelea wewe na shemeji yako ila na yeye kaamua kukaa kimya?
 
Yaani umekaa naye miaka 20, sijui alikuoa una miaka mingapi? na bado unaita mmmm, huyu shemeji yako naye hamna kitu kichwani, mna pepo nyinyi
 
Kabla haujamwambia hakikisha unapakwenda kuishi na wanao na pia ujue mdogo wake ataoa mke wake na sio wa kuibia

Na ukifukuzwa as za mwizi arobaini wote watakuacha na huyo mdogo atakupa picha mbaya

Ila umeingilia ndoa ya watu si ungemuomba mungu msamaha as baba huyo ana mke wake na labda kakufanyizia... Wanawake mkome kuingilia ndoa za watu labda hata yeye kakuoa ili umsaidie raha akiwa Tanzania.

Sasa umeolewa nae sababu ya pesa anza kujijenga kwenu usije rudi kwenye umasikini mwanamke weye. Mwanamke umejishushia heshima na sasa unamimba ingine mmh unalo anza kuiba pesa jiwekee pembeni

Shemeji yako sio wako usisahau hilo
 
Dah!Kitendo ulichokifanya hakikubaliki ktk jamii za kiafrika,au hao waarabu walipanga wote wakudinye ndio maana jamaa akamuachia nyumba mdogo wake ili mchakachuanè vzuri, wakati unatoa 2nda wala hukuomba ushauri leo kijiti kimekukatikia mara 2 ndio uje kuomba ushauri?

Nawarabu bwana kwa kuzibua mifereji mh sijui kama alisalimika.
 
Kazi ya kinu ni kutwangiwa, sasa subiri utatwangwa mpaka na babamkwe kudadeki. Afu wewe sio NOT Mnafu kweli, ulieaga juzijuzi hum jamvini umerudi na Id mpya nini? manaake post za kivilevile haya bwana angalia kama ni wewe usijeaga tena, gawa kama pipi kwafamilia yote. SHAME ON U. Ptuuuuuuuuuuu!
 
Hii hadithi ya kwenye magazeti ya globalpublisherz. Mwandishi mwenyewe toka mwanzo analazimisha tuamini kwamba ni ukweli why? Kama siyo mapishi haya! Anyway napita tu:hand:
 
Back
Top Bottom