nimezaa na shemeji yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimezaa na shemeji yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kinu, Mar 9, 2011.

 1. k

  kinu Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
  .Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  uko kwenye ndoa miaka 20 hujui unalofanya mpaka uje uulize hapa,:hand:
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kweli we kinu
   
 4. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nini hiyo mkuu?
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Maharage y mbeya!!
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Chagua Moja
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  na mimi naomba nikuzalishe mtoto w pili
   
 8. v

  vegule Senior Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe mwisho. Mimi nilishasema hapa jf i will never trust a woman. Hata umpe kila kitu atakufanyia ushenzi tu. WHAT A SHAME!!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwaaazi kweli kweli!!Yani tangu unaanza miaka hiyo hukuona tatizo mpaka ubebeshwe mimba ya pili??Alafu mbona unasema akasafiri na mke wake???Wewe hajakuoa???Nwyz kama kweli umegundua unachomtendea mume wako sio haki na uko tayari kubadilika ni vizuri ukimwambia na uwe tayari kwenda na njia zako!!!Huwezi kumzalia mwanaume watoto wawili nje tena na mdogo wake alafu bado ukawa na amani moyoni....hiyo ndoa sio ndoa!!Mwondolee mwanaume wa watu mzigo!!
   
 10. v

  vegule Senior Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi namwonea huruma tu mme wake otherwise ningemtafuta huyu mwanamke nimpe mapacha, lol. Inaonekana anapenda sana kudinywa
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Shemeji shemejiii usiku mwazima taaa...
  Shemeji kula kaka hayupo akirudi sitamwambia!!!

  Mwaya we chuna tu mbona midume inazaa nje ya ndoa inatuficha wake zao :decision::decision::decision:
   
 12. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Human rights ee?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sijui hii hadithi ya kweli au ya kutunga.
  Wote inabidi mkatubu kwa huyo bwana kwa mlichokifanya na ujue maisha yako sasa maana watoto uliowataka ushapata.
  Pole sana.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mwanamke nyoka ndo huyuu sasa the so called mme wako akisia hayo uliyoyafanya na mdogo wake atakufa kwa stroke au presha.
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Dah!Kitendo ulichokifanya hakikubaliki ktk jamii za kiafrika,au hao waarabu walipanga wote wakudinye ndio maana jamaa akamuachia nyumba mdogo wake ili mchakachuanè vzuri, wakati unatoa 2nda wala hukuomba ushauri leo kijiti kimekukatikia mara 2 ndio uje kuomba ushauri?
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hii adisi naumisa roho
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Huyo mumeo analijuwa hilo na ndio maana akakuletea mdogo wake uzae nae.

  Najiuliza, kama mbegu zake hazina rutuba, ni vipi mkewe wa kiarabu awe na watoto sita? au wote si wake?

  Duniani kuna mambo!
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyo mumeo ana matatizo makubwa baada ya kuambiwa na dokta hawezi kuzalisha hajajiuliza hao watoto 6 wa mke mkubwa wametoka wapi ? huyu kazoea kuzaliwa na labda alimleta mdogo wake makusudi ili akuzalishe.
   
 19. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  hii story itakuwa ya kweli ,kwasababu profesa kaisi kweli namjua anahusika na magonjwa ya kina mama ikiwemo infertility but ofcoursev saiv amestafu.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Majimshindo na uporoto mmesahau kuwa kuna watu huwa wanapata matatizo yanayopelekea ashindwe kuzaa.
  Inawezekana hao watoto aliwapata kabla tatizo halijamkumba.
   
Loading...