Nimeyamiss sio ubahili

Nimeyamiss sio ubahili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1416249514727.jpg
 
nimeyala sana hayo Ilboru....hapo yanakuwa yamechanganyika na mijasho ya Erasto au Baltazar 'Baunsa' na mafuta ya taa kwa mbaaali!!!
 
duuuu mkuu hicho chakula kimenikumbusha mbalii sanaaa enzi nikiwa mdogo nilikua siyapendiii mama alikuachapa sanaaa mpaka leo sipendagi makande samahan mkuu kama ntakua nimekuudhi.
 
duuuu mkuu hicho chakula kimenikumbusha mbalii sanaaa enzi nikiwa mdogo nilikua siyapendiii mama alikuachapa sanaaa mpaka leo sipendagi makande samahan mkuu kama ntakua nimekuudhi

Hujayapata yaliyopikwa kitanga...! Chatne kidogo yameungwa na Nazi halafu na kachumbari na mango pickle acha kabisa
 
Daah!!Siku nyingi tangu niyaonje, sukumbuki mara ya mwisho lini
 
Wakati nasoma ndio chakula pekee nilichokuwa nakipenda ila kwa sasa sio kivilee
 
Back
Top Bottom