Kwani katika ile series ya vitabu ya "Made Simple" hakuna Swahili Made Simple? Nakumbuka kulikuwa na English Made Simple, Electricity Made Simple, History Made Simple, Chemistry Made Simple, Physics Made Simple na vinginevyo vingi!
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.