Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,270
- 9,414
Nimefurahi,unatokea nchi jirani?Zeus1 mbona unacheka ina mana nimekoseya kuadika,
Mh, kwa herilove b mayisha ya nyubani yarikuwa magum ikabidi niache shure niaze kutafut ela ya kurisha wadongo zagu na mama.
Asate sana usiseme tuliyacha shure bira kujuwa sababu za kuwacha shure? Niritamani sana kusoma ira nyubani turikuwa vibaya?
Huyu mtu amenichekesha sana na mjomba wake wa ItaliaVIP mjomba wa Italia hakuwasaidia msome shule?
Haaaaaa ni kweliii kinachofurahisha zaidi ni lugha yake burudaniiiiiiiiii toshaaaHuyu mtu amenichekesha sana na mjomba wake wa Italia
Haaaaaa ni kweliii kinachofurahisha zaidi ni lugha yake burudaniiiiiiiiii toshaaa

Mkuu tafuta hata mtu akufundishe jioni aisee.Mujomba wa itaria alikuwa anasomesha wadongo zagu ambawo kwa sasa wapo chuwo.