Mimi nimewekeza kwenye Samia Infrastructure Bond. Mpaka leo sijapata cheti changu kuthibitisha kuwa nimewekeza kwenye uwekezaji huo.
Chonde chonde ninaomba mnipatie cheti changu kunithibitishia kuwa mimi pia ni muwekezaji kwenye Samia Infrastructure Bond.