Hongera sana naomba jitahidi usijiunge kwenye chama hiki kipya kinajiita mabahariaIlikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa
Watu wanaaminishana kuwa kuacha ni ngumu ila nimeona kikubwa ni nia ya dhati mm nilijiwekea kutoka moyoni kuichukia nyeto kama ninavyo uchukia ushoga
Mwanzon kabisa nilitumia mbinu nyingi sana mpaka niliwa kuuza simu ila wap ila kwa sasa nimeweza namshukuru Mungu
Kama unataka kuacha weka nia ya dhat kabisa kuwa sitafanya hata iweje
Nilikuwa na ufahamu kama wako ila baada ya kuamua kufahamu zaid juu ya kitu ninachokifanya kuwa nisahihi au sisahihi na kinafaida na madhara gani basi baada ya kufany hivyo kwa kina nikagundua sio nzuriSiyo kwamba hatutaki kuacha hapana. Ila hatujaona sababu ya kuacha. Hata kama tukijiondoa kuna chama gani kingine kilichobora kuliko chaputa?
mkuu samahani. una umri gani kwa sasa? na chaputa ulikuwa miaka mingapi hukoNilikuwa na ufahamu kama wako ila baada ya kuamua kufahamu zaid juu ya kitu ninachokifanya kuwa nisahihi au sisahihi na kinafaida na madhara gani basi baada ya kufany hivyo kwa kina nikagundua sio nzuri
Kwakweli.Hongera sana naomba jitahidi usijiunge kwenye chama hiki kipya kinajiita mabaharia
Ikiwezekana wape ujanja hao jamaa wanaojiita mabaharia namna ya kutoka na wafunge hicho chama chao mkuu
30s na nimetumikia chama kwa miaka 12 nilikuwa addicted kabisa ila any addiction huondoka kama ukiwa na nia ya dhatimkuu samahani. una umri gani kwa sasa? na chaputa ulikuwa miaka mingapi huko
Madhara ya punyeto yanayonadiwa kila kona ni. Kupunguza nguvu za kiume. Uume kulegea.Nilikuwa na ufahamu kama wako ila baada ya kuamua kufahamu zaid juu ya kitu ninachokifanya kuwa nisahihi au sisahihi na kinafaida na madhara gani basi baada ya kufany hivyo kwa kina nikagundua sio nzuri
hata mimi pia sipo.Kwakweli.
Hiko chama chao me hakijanibariki [emoji21] nimejikuta siko interested na watu wanaojiita mabaharia.
Rafiki natumaini we haupo chamani
Pole mkuu kumbe na wewe linaku bore!Kwakweli.
Hiko chama chao me hakijanibariki [emoji21] nimejikuta siko interested na watu wanaojiita mabaharia.
Rafiki natumaini we haupo chamani
chama cha mabaharia mkuu wana hit and run easy like thatSiyo kwamba hatutaki kuacha hapana. Ila hatujaona sababu ya kuacha. Hata kama tukijiondoa kuna chama gani kingine kilichobora kuliko chaputa?
Unatakiwa uoe,na umpate mtu atakayekuwa anakupatia huduma pale unapohitaji;tofauti na hivyo utakuwa unautesa moyo wako tu hasa pale utakapotamani na huna uhakika wa kupata.