Nimeweka nia ya dhati na nimeweza

Nimeweka nia ya dhati na nimeweza

Hongera kwa kurudisha kadi ya chama cha wapiga punyeto Tanzania (CHAPUTA) na sasa naona unataka kadi ya Chama cha Mabaharia Tanzania (CHAMATA)
 
Kwakweli.
Hiko chama chao me hakijanibariki nimejikuta siko interested na watu wanaojiita mabaharia.
Rafiki natumaini we haupo chamani
Unatumaini Baharia Hayupo Chamani
Baharia.jpeg
 
Ilikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa

Watu wanaaminishana kuwa kuacha ni ngumu ila nimeona kikubwa ni nia ya dhati mm nilijiwekea kutoka moyoni kuichukia nyeto kama ninavyo uchukia ushoga

Mwanzon kabisa nilitumia mbinu nyingi sana mpaka niliamuwa kuuza simu ila wap ila kwa sasa nimeweza namshukuru Mungu

Kama unataka kuacha weka nia ya dhat kabisa kuwa sitafanya hata iweje
Mkuu ulifanyaje fanyaje?
 
30s na nimetumikia chama kwa miaka 12 nilikuwa addicted kabisa ila any addiction huondoka kama ukiwa na nia ya dhati

Ilifika kipindi nikiona mafuta geto napata mzuka aseeh its dangerous hii kitu
Aisee
 
Miezi saba tu kwa nyeto bado sana kitu pekee kinachoweza kukutenganisha wewe na nyeto ni Kifo otherwise uko likizo tu.
Hahahaha huyu jamaa yupo halftime tuu sema hajajua
 
Ilikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa

Watu wanaaminishana kuwa kuacha ni ngumu ila nimeona kikubwa ni nia ya dhati mm nilijiwekea kutoka moyoni kuichukia nyeto kama ninavyo uchukia ushoga

Mwanzon kabisa nilitumia mbinu nyingi sana mpaka niliamuwa kuuza simu ila wap ila kwa sasa nimeweza namshukuru Mungu

Kama unataka kuacha weka nia ya dhat kabisa kuwa sitafanya hata iweje
Hongera saaaaana bingwa huo ndio ushindi wa mwenyewe pigana kiume. Baharia ume win Big up
 
Unatakiwa uoe,na umpate mtu atakayekuwa anakupatia huduma pale unapohitaji;tofauti na hivyo utakuwa unautesa moyo wako tu hasa pale utakapotamani na huna uhakika wa kupata.
Yaaap nimepata mchumba nipo nae mwez wa 4 bado namchunguza ila pia huduma napata sio mbaya
 
Madhara ya punyeto yanayonadiwa kila kona ni. Kupunguza nguvu za kiume. Uume kulegea.

Sasa pima katika hayo madhara mhusika yanamdhuru vipi wakati wanaodhulika nayo ni wanawake! Hivi nguvu zako za kiume zikipungua anayeumia ni wewe ama mkeo? Uume wako ukiwa legelege anayeumia ni wewe ama mkeo? Kutokuwa na hamu ya tendo we inakudhuru nini? Mi nasubiri kama madhara yatakuwa yamesimama upande wa uchumi na uboreshaji ea teknolojia hapo ndipo nitaanza kampeni za kukipinga chama pia nitajiondoa katika chama. Ama madhara yake yakiwa ni kudidimiza nguvu za kikazi yaani kulegea kwa mikono si kulegea kwa dushe
Soma mara ya pili naona umeandika kitto sana ila oky nimekuelewa endelea na nyeto
 
usimpe ushauri wa kijinga, kuoa bila malengo ni kujiongezea stress, mwanamke ni mtu tofauti sanaa ktk jamii si kitu cha kuamua leo na kesho kuoa. kuna watu wameoa na chaputa ni makatibu taifa. kikubwa ni kuacha yeye kama yeye chaputa
ha ha ha kuacha kitu kunatakiwa kuwepo na mbadala
 
ha ha ha kuacha kitu kunatakiwa kuwepo na mbadala
aiseee kuoa si mbadala wa tatizo maana kuoa ni tatizo lingine huwezi kutatua tatizo kwa tatizo. kuoa ni jambo gumu sana lisifanywe kwa sababu ya kukimbia tatizo fulani hope u get ma point
 
Back
Top Bottom