Nimewaza sana tena sana! Nikatamani haya mawazo yangu yatimie!! Kwanini isiwe?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Baada ya serikali iliyoko madarakani kushindwa uongozi kwa mtazamo wa walio wengi hapa Nchini.

Mi binafsi tangu jana nimekuwa ktk lindi la mawazo kutokana na majibu ya Jeshi la polisi kuhusu hili sakasaka la Dr H. Mwaikyembe.

Nimetamani sana hili linaloyumbisha vichwa vya mafisadi LINGEKUWA MWANZO mzuri kbs ya wao kwa wao kuparanganyana na hata hii chama cha mafisadi iwe mwanzo wake mzuri wa kutoweka ktk ulimwengu kama ilivyo vyama zingine ktk Nchi zinazotaka maendeleo.

Hili la Dr H Mwaikyembe inaweza ikawa mwanzo mzuri kbs kwa mchafuko ndani ya serikali hii legegele.

Natamani sana MUNGU akasikie na akajibu MAOMBI ya Watanganyika na hata ikawa mwanzo wa utawala mwingine kwa wanainchi wanaodanganywa waziwazi ingali wana akili timamu!

MUNGU! Kwa kuwa upo na utaendelea kuwepo,Ninakuomba Mi nafsi yangu hili janga waliotendewa hawa Ndg zetu na mafisadi kwa sababu ya kujineemesha wao kwa wao MUNGU ufanye uwezavyo maana najua unaweza na utupe UTAWALA mwingine wenye ukombozi kwa WATANZANIA wote wenye upendo na Nchi yao yenye kila baraka yako MUNGU wetu!

Wanajamii wenzangu naomba tuungane pamoja kuitakia Nchi yetu uongozi mbadala lakini siyo hii tuliyonayo tangu 1995.

Kizazi kijacho wataenda wapi?
Watakuwa wageni wa nani?
Nchi yetu ya maziwa na asali mafisadi wachumia matumbo mpk lini?

Sina mengi lakini ningeomba sumu mafisadi aliyolishwa Dr H Mwaikyembe na Mwandosya na hata wengine waliopona kwa uwezo wa IMANI iwe mwanzo wa malumbalo ya kuisambaratisha sisiem ipotelee kuzimu kbs!

Hili inanikera sana Wanajamii wenzangu!

Na hakika siku zao zinahesabika!

Asanteni!!
 
Waliomlisha sumu Mwakyembe ni mafisadi, waliomteua DCI Manumba ni serikali ya mafisadi ungetemea jibu gani? The game was indirectly and remotely played, and it was over! Manumba would have contravened the decisions made by his superiors if he could hv failed to follow instructions given!
 
Waliomlisha sumu Mwakyembe ni mafisadi, waliomteua DCI Manumba ni serikali ya mafisadi ungetemea jibu gani? The game was indirectly and remotely played, and it was over! Manumba would have contravened the decisions made by his superiors if he could hv failed to follow instructions given!

Yani tuna hasara flu!

Mwenyenzi MUNGU mwenye mamlaka kasikie kuomba kwetu!
 
Umeandika ukiwa drived mno na emotion! Binafsi i hate Mwakyembe.

hata km unamchukia Mwakyembe huu unyama wanaomfanyia haukubariki kabisaaa, ipo cku atafanyiwa ndg ama rafk yako cdhan km utakuwa happy,
2najenga tz gn??
Yaan Tz tumefkia hatua hii??
JK nchi imekushinda!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Aaameni! Na - ife! Nyumba za ibada, majumbani na kila kona ya nchi tuombee nchi yetu SHETANI huyu CCM afe!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom