Nimewaza hili🤔



Uzi huu no alcohol was detected 🤨

Leo unaumwa bwashee?
 
Yeah kushare ninachojua kikakupa faida na wewe ni msaada mkubwa mno ,hakuna aliye zaliwa ana pesa bwashee
Kabisa bwashee. Maarifa, connection na uzoefu ukishirikishwa kwa nia njema vinaweza kumbadilishia mtu maisha. Leo unamsaidia mtu, kesho naye anaweza kuwa sababu ya wewe kusonga mbele.
 
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔

Anzisha NGO/FOUNDATION usaidie watu wenye shida haswa achana na hao wa connection sijui mtu kashindwa kulipia Kodi ya chumba! Kuna watu Wana shida kwelikweli hata mtaani kwako Wapo.
 
Nina milioni 10 hapa nataka kuitoa sadaka kwa madogo waliopigika ila sijui nawasaidiaje nikaendelea kubaki anonymous kwa sababu nimeibagaza sana CCM humu😁
 
Bila shaka upo bar.

Akili za pombe ukishalewa unatoa ahadi kedekede ila sasa tungi likishaisha kichwani akili inakukaa sawa .
 
Bwashee umeongea jambo jema sana,
Hakuna kitu kinampa mtu amani ya moyo kama pale unapomsaidia mtu mwenye uhitaji,kuna amani fulani unakua unaihisi ndani ya nafsi yako,

Mimi binafsi najitahidi kushare kwa huku nilipo kwa nilichonacho kwa watu wenye uhitaji,ila sio kwa JF coz ya kulinda privacy,

Love the life you live,
Live the life yo love.
 
Safi sana bwashee, jf pia ina wahitaji , japo uhuni upo ila wanatuhitaji wapo kibao
 
Umesema kweli The Icebreaker . Msaada wa kweli hauhitaji matangazo; muhimu ni kugusa maisha ya mtu na kupata amani moyoni. Privacy nayo ni muhimu sana. 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…