Nimewamiss....

Yaani wewe tena jamani lol.....nimekumiss mpaka nataka kulia ujue....eti mbona twapishana hivyo we Catherine????...nikiingia mlango huu wewe watokea ule lol....sio vizuri ujue eeh!

mi pia nashangaa bidada inakuwaje, halafu mtu mzima hatakiwi kulia utanitisha mgeni. Habari za uzima.
 
Last edited by a moderator:
Nimekumiss mimi Catherine. Siku mbili tatu sijakuona humu jamvini, nawe bado mgeni isije ikawa wamekufundisha tabia mbaya. mwaaaah

kaizer hiyo mwaaah ni busu au? Mgeni bado sijazoea hizo mambo zenu nisije nikashindwa kutype bure.
 
Last edited by a moderator:
mi pia nashangaa bidada inakuwaje, halafu mtu mzima hatakiwi kulia utanitisha mgeni. Habari za uzima.

Hehehehe samahani mgeni mie sikujua kama unaogopa bana .....afu nimependa hiyo avatar yako.....huyo ndio wewe au mwanao ?......karibu sana mgeni.....hapa ndio jf chit chat! Silii tena mwaya!
 
DeathVampire.jpg

Thanx...chukua zawadi yako hii.....

153625nqc2f58k5n.gif

Hii sio Alama ya FREEMASONS kweli?
 
Hehehehe samahani mgeni mie sikujua kama unaogopa bana .....afu nimependa hiyo avatar yako.....huyo ndio wewe au mwanao ?......karibu sana mgeni.....hapa ndio jf chit chat! Silii tena mwaya!

teh teh teh! Huyo ni mtoto wangu wa tano na ndio last born. Nakaribisha mkwe tuunganishe undugu.
 
Si uanze hata na salamu afu baada ya salamu ndio uketi nikusimlie lol......hivi kwani ulienda wapi?

Sikuamini nilichokisoma hata salamu imekakauka mdomoni..Moyo wangu nahisi kama vile umemwagiwa maji baridi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom