Nimewamiss sana JF members

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,616
Bandungu wapendwa,

Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...

Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!

Hebu nambieni jamani...nani kawaona wajukuu zangu akina Maty, Musinga, Smile; Teamo na Rose hao nimeshawamuona.

Na hawa je?....Nyamaya,Asprin, PJ, Askofu, Rev. Masa, Bht, JS, MJ1, FL1, Baba_Enock, Invisible, Finest, etc,

Tafadhali wambie wote kuwa nawakumbuka sana na pia nawapenda sana.

Mungu awabariki sana, muwe na week end njema tena ya mavuno ya kutosha,

Babu DC (1947,
 
karibu sana

nawe tuli ku miss

leo ni thanksgiving day ni siku nzuri ya kushukuru uzima wako
 
we unajifanya kutanua na sheria iko wazi laki 250 unataraji nini
mod .....mwekeee alamba alamba afurahi kidogo tulimmis kweli
 
karibu sana

nawe tuli ku miss

leo ni thanksgiving day ni siku nzuri ya kushukuru uzima wako

Ahsante sana mpendwa,

Naona ni bonge la coincidence...si unajua tena umri hauna dawa...Memory zilishaenda kwao..

Thank you G and everyone for being great buddies!
 
we unajifanya kutanua na sheria iko wazi laki 250 unataraji nini
mod
.....mwekeee alamba alamba afurahi kidogo tulimmis kweli

Hapa potesa mimi....hebu saidia hii ndio kitu gani baba yoyo?
 
Bandungu wapendwa,

Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...

Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!

Hebu nambieni jamani...nani kawaona wajukuu zangu akina Maty, Musinga, Smile; Teamo na Rose hao nimeshawamuona.

Na hawa je?....Nyamaya,Asprin, PJ, Askofu, Rev. Masa, Bht, JS, MJ1, FL1, Baba_Enock, Invisible, Finest, etc,

Tafadhali wambie wote kuwa nawakumbuka sana na pia nawapenda sana.

Mungu awabariki sana, muwe na week end njema tena ya mavuno ya kutosha,

Babu DC (1947,
Jamani nilikumic vibaya sana kuanzia wewe mwenyewe mpaka hekima zako,tunashukuru umerudi jamvini pole na maswahiba yaliyokukumba.
 
Ahsante sana Musinga,

Ishallah..tutakuwepo kuwepo jamvini sasa...

Have a great day!
 
DC mie mbona huniulizii jamani eeeeeeh........!

Pole dada,

Unajua wewe sasa itabidi umwone Shekh Yahaya Hussein (yule mnajimu wa TISS) kwani jina ulilochanuga unaweza kuwa unatembelea nyota ya FL1...

Usihofu..nimewaulizia wana JF wote na kutumia wawakilishi tu..believe me, you are equally covered in my heart!
 
Welkum bak hivi uliondoka na Mwalimu Gaijin maana naye alikuwa sijui amekamatika kwa nani
 
pole sana We missed u big tyme karibu tena kijiweni watakani chai gahawa?
 
Bandungu wapendwa,

Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...

Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!

Hebu nambieni jamani...nani kawaona wajukuu zangu akina Maty, Musinga, Smile; Teamo na Rose hao nimeshawamuona.

Na hawa je?....Nyamaya,Asprin, PJ, Askofu, Rev. Masa, Bht, JS, MJ1, FL1, Baba_Enock, Invisible, Finest, etc,

Tafadhali wambie wote kuwa nawakumbuka sana na pia nawapenda sana.

Mungu awabariki sana, muwe na week end njema tena ya mavuno ya kutosha,

Babu DC (1947,

I missed reading from you too. Wewe ni kati ya watu naopenda posti zao haswa jukwaa hili la maisha

Welcome on board Dark City
 
Welkum bak hivi uliondoka na Mwalimu Gaijin maana naye alikuwa sijui amekamatika kwa nani

Mhhhh,

Finest mbona unataka kunitafutia kesi? Ngoja tumalize kwanza thanks giving halafu tukutafutie jibu...

Enzi zetu ilikuwa mwiko kuzurura zurura hovyo...labda nyie wa dotcom na mambo yenu ya ISC...Sisi nei!
 
Mwalimu nilikuwa nahesabu siku ambazo mme-miss wewe na DC nikagundua ziko sawa

Sasa ulitaka mwenzio awe lokkapu peke yake? Ilikuwa ni msaada kwa kibinaadamu tu.

Ikabidi na mimi nijipe Lokkapu pia kuomboleza
 
Back
Top Bottom