Nimewahi kushangaza kijiji

Nilikuwa na Matokeo mazuri sana Darasa la Saba kuliko Wanafunzi wote kijijini mpaka Wilayani. Nilisifiwa sana.
 


Unakumbuka nini mwana JF???
Mimi nimewahi kutoa dozi kwa vijana 6 hadi nikapelekwa kupimwa akili...!!!

Dah nlkuwa nasoma sana hako kahadithi nikiweka malengo ntakuwa askari hodari.......

Umenikmbsha mbali mnoooo darasa la 5 kama sio la 4.......

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Nilikua namwandiko mzuri hadi nikawa naambiwa niwaandikie notes wanafunzi wengine ubaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…