Nimewadharau wanawake wenye makalio makubwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,872
2,000
Aiseeee....................Nafikiri swala la uasfi ni lazima watu kukumbushwa kila mara na bahati mbaya zaidi wengi wao tunafikiri kuwa watu wazima au kuwa wanawake basi ni tiketi ya kujua usafi kumbe sivyo....
Mada kama hii si mara ya kwanza au ya pili kuletwa hapa ...lakini lazima kuna shida sehemu watu wote hawawezi sema uongo kila leo.....
Mimi nafikiri tukiacha sababu za kutumia madwa yanayo pelekea wengine kutoa harufu isiyo nzuri lakini sababu kubwa ni wadada wengi kutojua usafi wa uke na bahati mbaya kila mtu hujifanya anajua na kila mtu ana njia yake na njia nyingi ndio huongeza tatizo zaidi....
Kwa hiyo mafunzo ya kujisafisha ni muhimu zaidi.
 

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,522
2,000
Tatizo una chukuwa mademu wa Vingunguti ... unatanukishwa jasho la papuchi mpaka unuke kama beberu
Hakuna mademu wanaoongoza kwakujiswafi sehemu zile kama wauswazi,wakishua wengi ni wachafu sana.Hawana muda wakufundishwa usafi sababu muda mwingi wapo boarding tu.
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,029
2,000
Hakuna mademu wanaoongoza kwakujiswafi sehemu zile kama wauswazi,wakishua wengi ni wachafu sana.Hawana muda wakufundishwa usafi sababu muda mwingi wapo boarding tu.
Mhh wewe jamaa chai sana .. nimelelewa mwana nyamala kwa mama zackaria na kinondoni Makaburini mtaa wa Brazil "... hakuna utakachoweza kuniongopea
 

bite1999

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
363
500
Mmmh pole yao ila sio vizuri kumsema mtu pembeni ungemwambia ajirekebishe. Pili jiheshimu tafuta mmoja mufunge ndoa utulie naye
 

Giancarlo

JF-Expert Member
May 15, 2018
642
1,000
Mkuu ni vyemaa ukawaambia ili na sisi huku tukikutana nao tusiwakute wachafu...so ukimkuta mwngne mchafu mfundishe usafi ili na cc wengne tukija tukute visafi kukimbia kimbia kila mtu ni ubinafsi haupend wenzako wale vitu vzuri
 

THK DJAYZZ

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
2,155
1,250
Tabia ya kupeleka Ujumbe wa mtu mmoja kwa kila kiumbe chenye mfanano na huyo mtu...tuzipunguze kama sio kuacha....

Binadamu hachagui aje kuwa na umbile gani....tujifunze kuheshimu maumbile ya (wenzetu) waliojaliwa na muumba ....
well said mkuu
 

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
777
1,000
.
IMG-20210105-WA0060.jpg
 

Ackhery

Senior Member
Jan 5, 2021
113
250
Habari wadau

Hawa viumbe kwa muonekano wako smart sana na wanavutia,, ila ndani ni wachafu hizo papuchi zao zinanuka

Sijui hawaogi na kujikosha vizuri hizo papa? Unakuta bonge la sistaduu shepu hilo, tako la haja ila papuchi imevunda ina harufu kali! nmemuacha mmoja wiki iliyoisha hakuamini maana aliliwa mara mbili tu na mara ya pili na mwisho dushe liligoma kusimama baada ya kushindwa kuvumilia harufu ya papuchi

Mwingine nilimgegeda mara moja tu nikaingia mitini mazima akabaki tu kulalama kuwa namchunia baada ya kumgegedua!

Sinaga uvumilivu kwa mwanamke mchafu, iwe kinywa, kwapa au papuchi! tena hawa wa papuchi ndo sitaki nao mazoea kabisa

Povu ruksa
Tulia!!!
Usipotulia utakutana nao wote Wa namna hiyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom