Nimewadharau wanawake wenye makalio makubwa

Nimewadharau wanawake wenye makalio makubwa

Hebu twende taratibu basi.
Tatizo lenu nyie wanaume mnaokota okota tu wadada hukoo mnaangalia chura. siye tusio kuwa na chura mnatupita kama hamtujui. Pambaneni na madanga wenu mxeeew
Nyie wembamba hamuwezagi kutulia. Af mnajiona ni wazuri kupitiliza.
 
Wengine ad wanajijua yan mtu ana mwili kama nyumba diet ataki ni kula hovyo tu machips na vykula vya mafuta kwa wing bila ata ya mazoez, minyama inajazana jasho ndio usiseme ata akioga now baada ya nusu saa utadhan ajaoga... mwili unapunguzika wengn wanasema awajapendwa waumbwe ivo but kwa mazoez na diet unaweka mwil vzr
 
Tabia ya kupeleka Ujumbe wa mtu mmoja kwa kila kiumbe chenye mfanano na huyo mtu...tuzipunguze kama sio kuacha....

Binadamu hachagui aje kuwa na umbile gani....tujifunze kuheshimu maumbile ya (wenzetu) waliojaliwa na muumba ....

Hii ndo JF, kama ilivyo mitandao yote tunayotumia majina na utambulisho fake, insults, bullying na offensive language ni common things.

Wengine utakuta tuna stress zetu za maisha hivyo tunatafuta pa kuzipunguzia.

How are you anyway!
 
Back
Top Bottom