Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Kwa hiyo na wanaume wanaoteswa na wanawake nao wapanue wigo wa wanaowachukia..?? Kwamba pamoja na kumchukia anayemtesa akuchukie na wewe..??Hayupo alushatangulia mbele ya haki ila angekuwepo akamchukia mama yangu nae ningemchukia
acha kudeka wewe mtoto bado yupo tumboni unalalamika unalea peke yako,ndio maana umechuniwa,,hauna simile na utakuwa una kelele sana kwa jinsi uandishi wako ulivyo,pia habari za upande mmoja sio za kuziamini sana labda tungempata na jamaa tusikie ya kwake ya moyoni.Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Nikupe ili uyasikie yaliyoko moyoni mwake!!!! Basi tunalea woteacha kudeka wewe mtoto bado yupo tumboni unalalamika unalea peke yako,ndio maana umechuniwa,,hauna simile na utakuwa una kelele sana kwa jinsi uandishi wako ulivyo,pia habari za upande mmoja sio za kuziamini sana labda tungempata na jamaa tusikie ya kwake ya moyoni.
Nipo kimbilio la wanaotoswa na kutekelezwa.Kwa kweli siyo wote wanaovaa suruali ukadhani wanaume
Ww unaotaNilikutongoza ili nikuoe ukanipotezea kisa mwalimu.
Naona umevuna matunda.
Hakuwa type yako dada.
Pole sana
kama hutojali ni pm tuongeeeWanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Si alivua ch***p mwenyewe au cc tulikushika mguu wkt unagegedwa?Starehe ule wewe, halafu mimi unichukie eboo
Pole Sana Dada angu !!Mimi ni Mwanasaikolojia nimeenda course ya mambo ya jamii Kama yanayohusu Psychologia !!! Hali yako uliofikia inaweza leta madhara kwa Afya yako na ya Mtoto utaemzaa!! Tena hatari itaongezeka zaidi ukimzaa Mtoto wa kiume!!!Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
[QUeaOTE="lufuo, post: 16719938, member: 275315"]Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!