Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
Mara bunge live, mara UKUTA kelele tupu hawana jipya, bungeni wamepelekwa tu michepuko, watuache watanzania na Magufuli wetu. Mh. Lowassa bora ujiuzulu siasa mbona unajichosha na kujishushia heshima yako mzee wewe na Sumaye? Mlishawai kuwa hadi mawaziri wakuu mlisahau nini kwenye serikali wakati UKUTA hamjui? Mnataka UKUTA gani tena? Mtuache mtuache watanzania na nchi yetu kwanza tunawadai sana sitaki kusema mengi