Nimevutiwa na house girl

..........Kwani house girl si mwanamke? Nae anahitaji mpenzi/mume hivyo kama kweli una nia njema naye anaweza kuwa mkeo baadaye huyo.

Nina uncle wangu alikuwa na elimu yake alioa HG na akamuendeleza kielimu sasa ni mama mwenye elimu yake na mtulivu mno. Hivyo unaweza kabisa kuoa huyo binti ila je umempenda kutoka moyoni? Maana ukipenda kila kitu kinawezekana kwani elimu kitu gani bana hadi ujifikirishe kiasi hicho? Unaweza kumsoma huyo dada na ukamuelewa vizuri tu kama atakuja penda kwenda kujiendeleza kielimu ili awe na elimu kama yako.
 
Yaani nimemtembelea rafiki yangu leo hom kwake kwa ishu za kimikakati. Sasa nikiwa pale nikamwona binti wa kazi. Aisee yuko mzuri. Sasa roho ya kumpenda (sijui kumtamani) ikaniingia. Mie bachela. Kila akipita namcheki kwa umakini na tathmini. Hana maringo, hajishaui. Uzalendo ukanishinda nikamjulisha mwenyeji kuwa nataka kumsoma akili huyu binti kupima ufahamu wake ili ikiwezekana awe mwandani. Jamaa akaniambia kama ni kwa wema utazungumza nae. Mtoto wa kisukuma, mrefu hivi. Maji ya kunde. Anavutia. Ni type ninayotaka. Nikawa najiuliza moyoni, je namhitaji? Elimu yake haitanipa mushkeli? Japo nimewazia kumuendeleza iwapo uzalendo utanishinda. Mi nina shahada. Napanga kumwambia jamaa amweleze ili nipate wasaa nae wa kutosha jmosi (si kingono) kumsoma na kuona upeo wake wa ufahamu na kama anaendelezeka maana siwezi kuwa nae kwa elimu yake. Nafsi nyingine inaniambia nipotezee tu na kumtafuta wa class yangu. Wenye maujuzi na mawazo kuhusu hili uwanja ni wenu
ivi unachotafuta kwa mwanamke ni elimu au mapenzi ya dhati?
 
Inashangaza-kwanini house girls wanahusishwa na kutosoma?Mbona mimi najua dada zetu kibao ni ma house girl London, stockholm,new york etc na wana mpaka Msc.
Mimi nawajua watu kibao ni ma house girls humu humu TZ na wana degree zao?And by the way the same laddy ungemkuta amekalia kiti cha ofisi kubwa ungemleta hapa ajadiliwe au kwa kuwa umemkuta ndani kama msaidizi?
Its sad watu waliosoma ndio wanazidi kuwakandamiza kwa njia kama hizi hamna kitu nisichopenda kama kumuita mtu house girl(profession yake) kama yeye anakuita jina lako au baba ..... in another ways basi na nyinyi muwe tayari wake zenu na mama zenu waitwe professions zao,mbona itakuwa kazi hapo!-aaaaagh.:embarrassed:,:A S-frusty:,and :bored:
 
Usijali elimu yake,jali upeo wake kuwasiliana naye,katika maisha ya ndoa kikubwa ni upeo wa watu wawili kuweza ku-communicate vizuri,
kwa kuwa unamchukua akitokea kuwa maid,inawezekana akawa na uwoga na unyenyekevu due to her work background,kama unataka kugonga na kupotea,please muache jenga heshima na rafiki yako,lakini kama unafikiria longterm mchukue kaa nae,then kajitambulishe ulipe mahari kwao,
wish u all the best
Yaani nimemtembelea rafiki yangu leo hom kwake kwa ishu za kimikakati. Sasa nikiwa pale nikamwona binti wa kazi. Aisee yuko mzuri. Sasa roho ya kumpenda (sijui kumtamani) ikaniingia. Mie bachela. Kila akipita namcheki kwa umakini na tathmini. Hana maringo, hajishaui. Uzalendo ukanishinda nikamjulisha mwenyeji kuwa nataka kumsoma akili huyu binti kupima ufahamu wake ili ikiwezekana awe mwandani. Jamaa akaniambia kama ni kwa wema utazungumza nae. Mtoto wa kisukuma, mrefu hivi. Maji ya kunde. Anavutia. Ni type ninayotaka. Nikawa najiuliza moyoni, je namhitaji? Elimu yake haitanipa mushkeli? Japo nimewazia kumuendeleza iwapo uzalendo utanishinda. Mi nina shahada. Napanga kumwambia jamaa amweleze ili nipate wasaa nae wa kutosha jmosi (si kingono) kumsoma na kuona upeo wake wa ufahamu na kama anaendelezeka maana siwezi kuwa nae kwa elimu yake. Nafsi nyingine inaniambia nipotezee tu na kumtafuta wa class yangu. Wenye maujuzi na mawazo kuhusu hili uwanja ni wenu
 
Mh, mkuu hii issue ipo complicated kidogo but simple as well depending on how you want to simplfy or complicate! For me you have gone too far, you simply needed to take some time to follow up independently. Kumpa issue huyo mwajiri wake naona kama in-compromise uhalisia. Elimu si kigezo mhimu, kama ni timamu mkuu tia maguu...
 
Mkuu chukua kitu nina jamaa yangu wife wake alikuwa H/girl kampeleka secondary huku anaendelea kula ile kitu roho inapenda, now she is in her 3rd year (accountancy) pale mzumbe. usipende ready made do something.
 
Yaani nimemtembelea rafiki yangu leo hom kwake kwa ishu za kimikakati. Sasa nikiwa pale nikamwona binti wa kazi. Aisee yuko mzuri. Sasa roho ya kumpenda (sijui kumtamani) ikaniingia. Mie bachela. Kila akipita namcheki kwa umakini na tathmini. Hana maringo, hajishaui. Uzalendo ukanishinda nikamjulisha mwenyeji kuwa nataka kumsoma akili huyu binti kupima ufahamu wake ili ikiwezekana awe mwandani. Jamaa akaniambia kama ni kwa wema utazungumza nae. Mtoto wa kisukuma, mrefu hivi. Maji ya kunde. Anavutia. Ni type ninayotaka. Nikawa najiuliza moyoni, je namhitaji? Elimu yake haitanipa mushkeli? Japo nimewazia kumuendeleza iwapo uzalendo utanishinda. Mi nina shahada. Napanga kumwambia jamaa amweleze ili nipate wasaa nae wa kutosha jmosi (si kingono) kumsoma na kuona upeo wake wa ufahamu na kama anaendelezeka maana siwezi kuwa nae kwa elimu yake.
Nafsi nyingine inaniambia nipotezee tu na kumtafuta wa class yangu. Wenye maujuzi na mawazo kuhusu hili uwanja ni wenu
..precaution sir. dumisha mkataba wa haki za binadamu uliosainiwa kati ya serikali na jumuiya ya kimataifa.
Go for her, she is human being. kama elimu utampromote mpaka kufikia level unayotaka. kama kweli umempenda walah piga moyo konzi na ujitie ushenga wa kumpata huyo binti.

Niliwahi kumtembelea rafiki yangu miezi kadhaa hapo nyuma ana HG wa nguvu, ila tatizo nimeoa na kwasababu nadumisha urafiki nikaona nisifanye infidelity kwa huyo binti. Ila hawa MACHAX wananona mno wakishaanza kuzoea samli na ufuta walah

 
Sisi hatuwezi kukushauri la maana kwa sababu taarifa zako hatuna ila umetupa za huyo binti tu........Acha uchoyo tuelezee zaidi.. una miaka mingapi na huyo binti ana umri gani. Wewe umekulia wapi...............na dini zenu zinasemaje.............hayo ni maswali mepesi lakini huwezi kujua........Wazazi wa pande mbili watayaona haya maswali nyeti sana.............Halafu kosa kubwa unafikiri ni wewe tu mwenye uamuzi unajuaje yeye anafikiria nini?

Au unafikiri kwa kuwa ni "Housegirl" basi atabebwa na yeyote mwenye ujasiri wa kusema "I love you?'

Be serious than that my friend and show some maturity.........Best wishes, all the same.................

mkuu unataka data zangu? Ni no! Kuhusu binti kuwa na utayari hilo lisikupe shaka nilimweleza jamaa in a formal way. Pamoja na kwamba nimemwona binti kwa mara ya kwanza, nikimweleza in a formal way hakuna pingamizi
 
Kiukweli wadau nimewasoma mmoja baada ya mwingine na wakati mwingine si rahisi kureply every post. Nimelichakachua hili jambo wee. Pia tumeongea kirefu na jamaa kumhusu binti. Tatizo wako mbali kidogo na kumwona binti hadi nifuate some formal channels. Yaani jamaa aongee na waif wake then wife amweleze binti kwa vile wamezoeana. Wife akontakt nami pale ambapo ningehitaji kumwona. Si binti wa kuzurura kwa mujibu wa jamaa. Sasa nifuate hizo chanels then baadae kisieleweke... Bora ningekuwa namwona kwa muda wangu. Kwa michango yenu inabidi nipate muda na kuchekecha kidogo. Pia ni rahisi kutoa ushauri kuliko kuutekeleza. Ngoja nifikiri
 
Kiukweli wadau nimewasoma mmoja baada ya mwingine na wakati mwingine si rahisi kureply every post. Nimelichakachua hili jambo wee. Pia tumeongea kirefu na jamaa kumhusu binti. Tatizo wako mbali kidogo na kumwona binti hadi nifuate some formal channels. Yaani jamaa aongee na waif wake then wife amweleze binti kwa vile wamezoeana. Wife akontakt nami pale ambapo ningehitaji kumwona. Si binti wa kuzurura kwa mujibu wa jamaa. Sasa nifuate hizo chanels then baadae kisieleweke...
Bora ningekuwa namwona kwa muda wangu. Kwa michango yenu inabidi nipate muda na kuchekecha kidogo. Pia ni rahisi kutoa ushauri kuliko kuutekeleza. Ngoja nifikiri
..hapo kwenye bold ushanipa shaka. mimi mtokeaji mzoefu nakusoma kwamba unahitaji kumwona na kumchakachua mwenyewe kwa muda wako... kubaliana na ushauri wa baba wa binti (mdingi wa hausi) kisha mambo yatakuwa swaafi. la sivyo weye wamtaka huyo binti kwa usiku mmoja kisha baadaye utakuwa unaonana naye kila unapomtaka


 
I wish ingetokea tu natural disaster na mara nikawa nae. Tatizo sijui ni wakati gani wa kusikiliza moyo au akili yangu
 
I wish ingetokea tu natural disaster na mara nikawa nae. Tatizo sijui ni wakati gani wa kusikiliza moyo au akili yangu
Moyo ukuongoze achana na akili maana utapotea na kumkosa mtoto jumla.
Ila kama unadhani huuamini moyo wako just fuata akili yako na ujiandae kwa matokeo
 
Wallet,

Unaweza kuweka picha yake kama hutajali ili tupate motisha zaidi wa kukupa ushauri
 
Wakuu nimefikiri vya kutosha nikachanganya na mawazo yenu nikaona kuwa nizungumze nae kwanza then nitajua cha kufanya. So far nazungumzia upande wangu tu. Ila kwa dokezo binti ni yatima. Na anaoishi nao wanamchukulia zaidi kama mdogo wao
 
Back
Top Bottom