Nimevunja kioo cha kishikwambi

waBONGO WANAUMIA MATICHA KUPATA VISHKWAMBI VYA ELFU 80, WATENDAJI KUPATA PKPK.

UJINGA NI MARADHI NA UMASIKINI.
 
Vioo vya vifaa vya kichina vinaingiliana, tafuta fundi mzoefu akuangalizie, unaweza kuta kinakubali na Tecno fulani hivi
 
Sasa mwalimu kishikwambi upewe wewe halafu utaratibu kikiharibika utuulize sisi!!!
 
Keki ya taifa ni kubwa sana, acha walimu wapate vishikwambi.

Kuna mambo ya muhimu ya kuhoji ila waTZ wanafumbia macho kwa kuzingatia kitu cha TZS 200K+
 
Baada ya kifo cha mwalimu
Walimu mnanyanyasika sana,
Kule mbeya tayari mwalimu yupo mbaloni. Kumbe mna kesi nyingine ya vishikwambi?
 
Kwanza Mtuambie mmepewa mnavitumiaje huko
Na tokea Umepewa Kimekubadilishia nn
 
Siku hizi siingii na vitabu darasani naupload notisi Safi kutoka msomi Bora nafundisha.
Unatia huruma sana mwalimu!! Hujui hata ku upload ni nini? Hii nchi ina walimu wa hovyo sana.
 
Taja wilaya uliopo ili tuangalie kama kuna duka la spare parts zake. Hairuhusiwi kukirekebisha kabla haujatoa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…