Nimevumilia nimeshindwa, bora nioe!

Nimevumilia nimeshindwa, bora nioe!

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
 
nenda kwa yule ambaye hisia zina kupeleka kwake,
Hatuwezi kukushauri huyu oa huyu acha maana sisi si waoaji.
 
Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
Hapo umenena mkuu, sio kama alfajiri ulivyokurupuka kutaka ushauri wa kumpata hg.
 
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
 
Mkuu ushauri mzuri kama huu, nashindwa nikulipe nini aisee!
Hapo kwenye sura, nadhani kidogo ntaangalia, kwani uzuri wa mwanamke ni pamoja na muonekano wake!
 
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
Big up mkuu!
 
Aaaaaaaaaah wapi! Oa mtu ambae una hisia nae BAAAAAAAAAAASS! Kama huna hisia na mtu hata awe na tabia gani utamchoka siku 2. USICHAGUE MKE KWA WOGA WA MAISHA.
 
unaoa kwasababu umechoka kuulizwa "utaoa lini" au kwasababu umeona ni muda muafaka wa wewe kuwa na mwenza?
 
Nahisi kuna somo linahitajika hapa!
Na ikiwa nimekusouma vizuri, umesema hivi: Ni vipi utamtambua ke asiefake tabia! Si ndio?
Hiyo inamaana tabia njema sio tatizo bali kutambua kwamba hizo tabia ni original or fake ndio issue! Si ndio?
...
Embu twende taratibu, na anza kunijibu hayo maswali ili tuende sawa!
Huenda nikakusaidia hapa
 
Aaaaaaaaaah wapi! Oa mtu ambae una hisia nae BAAAAAAAAAAASS! Kama huna hisia na mtu hata awe na tabia gani utamchoka siku 2. USICHAGUE MKE KWA WOGA WA MAISHA.

I buy the points
 
Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!

kila la kheri dogo.ila kws utakayempata take ya tym kumfahamu.usikutane nae leo kesho ndoa.atleast mwaka au miwili inatosha kumfahamu.usimuonyeshe kuwa unamchunguza coz atakufake mambo mengi sana.unaweza tu ukamwambia ndoa mwaka kesho mwishoni.yaani unaiweka mbali tu ili mipango yako iende taratibu sana huku ukiangalia upepo.
 
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.

jf z my #1 sosho netiweki
 
kabisa kabisa mdau
 
Aaaaaaaaaah wapi! Oa mtu ambae una hisia nae BAAAAAAAAAAASS! Kama huna hisia na mtu hata awe na tabia gani utamchoka siku 2. USICHAGUE MKE KWA WOGA WA MAISHA.

Its so long i dnt read u here.. am so happy ur bak to this jacuzzi.. whre did u hide mamaa for couple of days?

nway, welcome back and make a revise 2 ur certain post, i posed a request to call u!
 
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.

hii nimeipenda
 
angalia vifuatavyo....
1. Dini yake, je ni mfia dini, isiwe kiviile
2. familia yako ikoje, suala la heshima na nidhamu, magonjwa nk.
3. angalia kipato chake pia elimu
 
Nahisi kuna somo linahitajika hapa!
Na ikiwa nimekusouma vizuri, umesema hivi: Ni vipi utamtambua ke asiefake tabia! Si ndio?
Hiyo inamaana tabia njema sio tatizo bali kutambua kwamba hizo tabia ni original or fake ndio issue! Si ndio?
...
Embu twende taratibu, na anza kunijibu hayo maswali ili tuende sawa!
Huenda nikakusaidia hapa

Mkuu ndo hivyo, swala la unyumba najali bt tabia ni muhimu, hii itanisaidia kuwa na uhakika wa maisha marefu, familia yenye heshima, furaha kwenye ndoa, uvumilivu na kutiana moyo. Sasa akifake itakuaje?
 
Mkuu nimekusouma vizuri tu!
...
Wahenga walisema hauwezi kupanda miogo ukavuna mahindi!!!
Hii inamaana gani kwako?
Ukikosea kuchagua mchumba, itakula kwako na utapata yale usiyoyapenda!
...
Sasa ufanyeje?
Bila shaka uchague vizuri!
...
Utachaguaje vizuri?
1: Ujitambue wewe mwenyewe ni mtu gani!!!
Hapa kunacategories chache za watu, angalia mwenyewe uko wapi kwa kila moja:
a) direct & indirect peaople!
b) rigid & flexible!
c) unatumia moyo au akili kwenye kujudge vitu!
.
Lengo la kujitambua ni kukurahisishia ni ke wa aina gani ambao mko compatible!
.
For sure tofauti hizo za watu ndio pale unapojiuliza "hivi mbona flani ni mtu mzuri tu, but kwa nini hadumu ktk mahusiano yake? Kwanini anaachika tu?" na maswali mengine kama hayo!
.
For kizuri cha kwako sio kizuri kwangu mimi, however sometimes inaweza ikawa ni kizuri hata kwangu mimi!
...
Sijui umenielewa hapa?
(hiyo ni hatua 1 bado mbili!)
 
Back
Top Bottom