Nimevumilia nimechoka!!

Nimevumilia nimechoka!!

Napata tabu kuamini wewe ni Mhitimu kutokana na uandishi wako...

Lakini pigania haki yako...Maana Tz inanuka kwa ufisadi.
 
experience , huwa hairudi(not officially) ila wasifanye kula pesa hiyo, si harari kwao. Kuuliza utawala ni sawa na kumpigia kelele chura. Wanajua jukumu lao ni mkataba tuliwekeana so wanavunja makusudi. Mwisho asante kunirekebisha

eti"HARARI"!!!Mnatuaribia kiswahili bhana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom