Nimevumilia nimechoka!!

Nimevumilia nimechoka!!

King Mculture

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Ndugu wadau tusaidiane kwa hili, Ni mda sasa tangu sherehe za mahafari pale UDOM zimalizike, tulilipia Tsh. 55,000/= kwaajiri ya vazi la sherehe(JOHO) ,kwamkataba kwamba ukirudisha vazi hilo utarudishiwa kiasi cha pesa Tsh 20,000/=, sasa turirudisha na kuahidiwa kuingiziwa pesa hizo kwenye akaunti zetu, sasa naona kamuda kanazidi kuwa kakubwa . Kulikoni?? Nawasilisha
 
Pole sana ndo vyuo vyetu hivyo....sanaa tupu....unategemea wahitimu nao wasiwe wasanii...
 
Nadhani moja unamaanisha mahafali na si mahafari...lakini kwanini usiwaulize UDOM administration?, pili wahitimu wenzako wamesema nini kuhusu hilo? Kama umefanya hivyo wao wamesema nini?
Experience ya wahitimu wa mwaka mmoja kabla yenu ikoje?
 
Experience inaonesha hiyo pesa haitumwagi,kuna gruduants wa 2011 hawajaipata hiyo pesa!
 
kama ni usanii, yaani kiasi hicho hakirudi, nitafika mahafali ijayo nimweleze mkuu wa chuo(Mh. Mkapa)
 
Nadhani moja unamaanisha mahafali na si mahafari...lakini kwanini usiwaulize UDOM administration?, pili wahitimu wenzako wamesema nini kuhusu hilo? Kama umefanya hivyo wao wamesema nini?
Experience ya wahitimu wa mwaka mmoja kabla yenu ikoje?

experience , huwa hairudi(not officially) ila wasifanye kula pesa hiyo, si harari kwao. Kuuliza utawala ni sawa na kumpigia kelele chura. Wanajua jukumu lao ni mkataba tuliwekeana so wanavunja makusudi. Mwisho asante kunirekebisha
 
Ila historia inaonesha vijana wa udom wavumilivu sana....boom si huwa mnapata karibu term inaisha...endelea tu kuvumilia...
 
Experience inaonesha hiyo pesa haitumwagi,kuna gruduants wa 2011 hawajaipata hiyo pesa!

nawaza sasa tuunde mtandao, kuanzia mwaka huo, tuungane tuzidai pesa zetu, kama wasomi tusienderee turuhusu jambo ili kuendelea kutokea.
 
Ndugu wadau tusaidiane kwa hili, Ni mda sasa tangu sherehe za mahafari pale UDOM zimalizike, tulilipia Tsh. 55,000/= kwaajiri ya vazi la sherehe(JOHO) ,kwamkataba kwamba ukirudisha vazi hilo utarudishiwa kiasi cha pesa Tsh 20,000/=, sasa turirudisha na kuahidiwa kuingiziwa pesa hizo kwenye akaunti zetu, sasa naona kamuda kanazidi kuwa kakubwa . Kulikoni?? Nawasilisha
weka namba yako hapa nikurushie hiyo 20000
 
Nadhani moja unamaanisha mahafali na si mahafari...lakini kwanini usiwaulize UDOM administration?, pili wahitimu wenzako wamesema nini kuhusu hilo? Kama umefanya hivyo wao wamesema nini?
Experience ya wahitimu wa mwaka mmoja kabla yenu ikoje?

Hiyo pesa hairudi. Nimehitimu 2011 mambo yalikuwa hivyo hivyo. Huyu jamaa asamehe tu maana hata sisi tuliambiwa hivyo na hatukupewa mpaka leo.
 
obama wa bongo, ni kweli naitaji kiasi hicho, ila si kwakukinga bakuri, ni kwakudai jasho langu.
kumbe unaitaka ile ya udom,mimi nilidhani umebanwa na shida na unategemea hiyo hela.usijali lakini subira ya vuta heri
 
Ila historia inaonesha vijana wa udom wavumilivu sana....boom si huwa mnapata karibu term inaisha...endelea tu kuvumilia...

Huu ni ufisadi mwangine tena mkubwa piga hesabu hapo ukute wamemaliza wanachuo 6000 uzidishe mara elfu 20000 utaona ni kiasi gani hawa jamaa wanapata hizo faranga sisizo na jasho.
 
Nauliza tu... Hivi kushona hayo majoho ni Tshs ngapi?! Kama ni chini ya elfu45 kwa nini wahitimu wakodishwe? Halafu kukodi elfu45 ni za nini? UDOBI au Kuweka viraka?!
Huu ni ufisadi mwangine tena mkubwa piga hesabu hapo ukute wamemaliza wanachuo 6000 uzidishe mara elfu 20000 utaona ni kiasi gani hawa jamaa wanapata hizo faranga sisizo na jasho.
 
Huu ni ufisadi mwangine tena mkubwa piga hesabu hapo ukute wamemaliza wanachuo 6000 uzidishe mara elfu 20000 utaona ni kiasi gani hawa jamaa wanapata hizo faranga sisizo na jasho.

kaka awamu hii hazitalika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom