Nimevua Gamba (CCM) rasmi najiunga na M4C & Peopes Power (CHADEMA) forefer

Nakupongeza sana kamanda,ila umeshawahi kukutana na pesa za nape?any way njoo tupige kazi na tukomboe wenzetu.
 
Baada ya kutumia muda mwingi kukitetea chama cha Magamba (CCM) hapa JF bila kuweza kubadili upepo wa vuguvugu la ukombozi natangaza rasmi kuachana na siasa za maji taka za CCM na kujikita katika ukomboza wa kweli wa Mtanzania kupitia M4C.

Aidha kwasasa nakujikita kutetea wanyonge wenzangu Walimu dhidi ya serikali dhaifu na dhalimu.

Wanachadema wote na wapenda mageuzi wote nchini naomba mnisamehe kwa upotoshaji mkubwa nilioufanya hapa JF kwa post na thread zangu ambazo ziliichafua chadema na viongozi wake (unaweza kuzingalia kwenye profile yangu).

Natumaini Makamanda wote waliopo JF mtanipokea na kwenda kushirikiana nami katika vuguvugu la kuing'oa CCM madarakani mwaka 2015 hata kabla ya hapo kama tuta appy japo kidogo Majority Patriotic Movement.

Na iwe kama ulivyoomba, dhambi zako umesamehewa. Amina
 
Wazanzibari haiitaki CCM na WaTanganyika haiitaki CCM ,Jamani CCM iende waende wapi ??? :spy:
Mkasema waende kaburi ,kuzimu motoni yaani mambu kibau ,nikaweka dondoo jamani wakikimbilia CDM si mtawapokea, kwa kishindo kikuu , Kuna watu wakaguta au tuseme wakaguna.Na bado watakuja wengi sana huko.Safe heaven kama CCM wanavyokuita.
 
Na iwe kama ulivyoomba, dhambi zako umesamehewa. Amina

Mkuu pamoja na huruma uliyoonesha kwa mwana mpotevu aliyejirudi lakini pia tukumbuke kwamba ni Mungu peke yake ambaye hutendewa dhambi na ni yeye pekee mwenye mamlaka ya kusamehe.

Hiyo statement kwenye
red ilitakiwa itoke kwa Mungu mwenyewe. Sisi binadamu tunawasemehe wenzetu makosa waliyotutendea na sio dhambi kwani hatutendewi dhambi bali Mungu. Tuwe makini na kauli zetu kwa mambo yanayohusisha Mamlaka iliyo Kuu kama kweli tunaamini wao wana pesa na sisi tuna YEYE tusije tukamtibua M4C ikageuka laana.
 
Baada ya kutumia muda mwingi kukitetea chama cha Magamba (CCM) hapa JF bila kuweza kubadili upepo wa vuguvugu la ukombozi natangaza rasmi kuachana na siasa za maji taka za CCM na kujikita katika ukomboza wa kweli wa Mtanzania kupitia M4C.

Aidha kwasasa nakujikita kutetea wanyonge wenzangu Walimu dhidi ya serikali dhaifu na dhalimu.

Wanachadema wote na wapenda mageuzi wote nchini naomba mnisamehe kwa upotoshaji mkubwa nilioufanya hapa JF kwa post na thread zangu ambazo ziliichafua chadema na viongozi wake (unaweza kuzingalia kwenye profile yangu).

Natumaini Makamanda wote waliopo JF mtanipokea na kwenda kushirikiana nami katika vuguvugu la kuing'oa CCM madarakani mwaka 2015 hata kabla ya hapo kama tuta appy japo kidogo Majority Patriotic Movement.

Niuwamuzi mbovu kabisa ulioufanya ukae ukijua umepanda gari bovu la ukabila na udini, mimi nitakomaa na ccm yangu and soon hadi hatua ya mwisho bcoz kwa sasa hakuna mbadala wake
 
Karibu sana kamanda njoo uwe kiumbe kipya ya kale yote yamepita tazama yamekuwa mpya
 
Back
Top Bottom