Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
wakuu nimenunua flash 4gb ya toshiba kwa mtu ila nimeikuta na virus,je kuna njia yyt ya kuondoa hao virus na nikishawaondoa nifanyaje ili wasiingie tena
- 1 . Umejuaje kama ina Virus?
- 2. Hao virus ni wa Aina Gani?
- 3. Unatumia computer/laptop yako ?
- 4. Unajua kutumia computer/Laptop ?
- 5. Ina Anti Virus Gani ?
- 6. Ume i Scan ?
snipa
nilimpa mtu akaniangalizie ndio kanambia hvyo ila cjui kutumia computer,mi nimeinunua 2 sbbu ndio nataka ninunuE desktop-SNIPA
.Format hiyo flash itafuta kila kitu then usiichomeke kwenye pc zenye virusi na zisizo na anti-virus
Maswali yote hayo ya nini? kama hajaweka vitu kwenye hiyo flash basi ai'Format then ascan computer nzima.
.Format kww cmd.. Nenda start then type cmd>bonyeza Enter then type format f: kama imepewa jina f au format G: kama imepewa herufi G. Alafu bonyeza enter
nilimpa mtu akaniangalizie ndio kanambia hvyo ila cjui kutumia computer,mi nimeinunua 2 sbbu ndio nataka ninunuE desktop-SNIPA
UNAMPOTEZA MWNZAKo
.