Nimeuza roho yangu kwa Mammon

Nimeuza roho yangu kwa Mammon

Kwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
Tupe code
 
Duh,
Wee ni mwanamke au dume?
Kama huyo jini hana jinsia mtakuwa mnakulana vipi, tena shoo pevu ya masaa 4 ?!!
Kwa mujibu wa chatGpt " Kumuabudu Mammon kwa njia ya ngono ya lazima (forced or ritualistic sex)—hasa kinyume na maumbile—ina maana mtu anadhihirisha unyenyekevu wa hali ya juu kwa pepo huyo, kwa kumruhusu atawale hata mwili wake"
 
Kwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
Nakazia hapo
 
Kwa hio hiki ndio kinamfanya ajute, na so mchezo, kuingiliwa kinyume Kila ijumaa kwa masaa manne, Kati ya saa 4 Hadi 8 usiku ili upate gari na nyumba na Kula vizuri, halafu ukifa vyote vinapukutika!!!
Na bado ameanza uzi kwa kimtukuza shetani badala ya kumlaani, hapo hujafikiria kwenda jehanam milele!!!
 
Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa .

Najuta Sana nimeiponza nafsi yangu kwa ajili ya tamaa zangu.

Msaada kwa wanaoweza kunitoa huku na teseka sana ,maisha na nilivyotarajia

Leo - umeuza nafsi yako kwa mammon...

Leo - unateseka sana na ni kinyume na ulivyotarajia...

Are you teleporting ama?
 
Kwa hio hiki ndio kinamfanya ajute, na so mchezo, kuingiliwa kinyume Kila ijumaa kwa masaa manne, Kati ya saa 4 Hadi 8 usiku ili upate gari na nyumba na Kula vizuri, halafu ukifa vyote vinapukutika!!!
Na bado ameanza uzi kwa kimtukuza shetani badala ya kumlaani, hapo hujafikiria kwenda jehanam milele!!!
daah nataman mkuu Tundazuri aje atie neno lake la ubani apa
 
Mkuu huwezi kuuza roho kwa kiumbe chochote , sana sana hayo uliyoingia nae ni pact kama pact zingine.

Sema hongera kwakufikiri nje ya box nakuweza kujua au kutafiti mambo ya nje ya mlango wa dini

Kuna forums nyingi sana huko Google za watu kama wewe wanaotaka kujua mambo au maswali mengi yahusuyo grimoire

Hail Lucifer...⭐
 
Sijui umesoma grimoire gani

Arthur Edward Waite is a prominent figure in the history of grimoires, particularly his work "The Book of Ceremonial Magic," which synthesizes and analyzes various famous grimoires. This book, originally titled "The Book of Black Magic and of Pacts," attempts to provide a coherent understanding of Western occultism and ceremonial magic, including the history, theology, and practical details of various grimoires.
 
Sijui umesoma grimoire gani
+5

Naomba kutambua zaidi kuhusu ili swala
Nahisi kuna vitu tunafichwa kwenye maisha haya ya kila siku

Nahitaji kutambua ukweli zaidi
 
Ukifanya dhambi anaipata roho yako kwasababu utaenda motoni.
Labda wewe ndio hujaelewa,to sell your soul na kutenda dhambi ni Jambo moja??

Sababu ninachojua once you sell your soul huwezi kumrudia Mungu maana you don't own your soul.,ila ukitenda dhambi unaweza kusamehewa..Kuna dhambi ambazo unpardonable,mfano kukufuru roho mtakatifu,je na Jambo hili sio kufuru kwa roho mtakatifu??
 
Kwann mnapenda utajiri wa mateso kwa kuingia mikataba na majini wakati unaweza pata utajiri kupitia malaika bila masharti cha muhimu umjue malaika wako wa utajiri ni nani kupitia number yako ya kiroho ni ipi kila mtu duniani ana code number yake ndiyo imebeba kusudi la maisha ya mtu
Namba yako ya kiroho unaifahamu?
Umeitumia vipi katika kufanikiwa na umewezaje kuitambua?
 
Hail lucifer,shemhaforash,

Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa .

Nilitumia kitabu cha VILE OF DARKNESS na vitabu vingine vya grimoire.

Nimekula kiapo cha damu (" nitamtumikia kaskazini na kusini ,mashariki na magharibi ,maisha ya sasa na ya bandage, kwa kujua kwangu na kutokujua kwangu ,..............")

Sitoweza kusema yote kwa ajili ya viapo vyangu .

Najuta Sana nimeiponza nafsi yangu kwa ajili ya tamaa zangu.

Msaada kwa wanaoweza kunitoa huku na teseka sana ,maisha na nilivyotarajia
Pole sana.
Kwenye maelezo yako umesema kuwa huko mwanzo ulikuwa unadeal na baadhi ya spirits, je hao hawakutosha kukupa utajiri? ulikuwa unafanya nao kazi gani hao wa mwanzo.??
Mtafute huyu Tanzanian Dream atakusaidia namna ya kuondoka huko, soma pia makala zake kuhusu jambo kama lako, aliwahi kuziandika huku.
 
Nahitaji kutambua ukweli zaidi
mkuu usichoelewa nn adi apa? mnataka jamaa afunguke vp zaidi ya apa? mbna kashaeleza apa kuna mambo ma3-kusinya mkataba wa siri kuu, hlf utekelezaji unaanza chap ndoapo mambo ya kufokoana yanafanyika bila hila wala chuki hlf bdae ghafla bin vuu nawew unajikuta unasukuma ndinga za hatare kama yule jamaa jina lake linafanana na munguupendo. bado ujaelewa kiongozi?
 
Sijui umesoma grimoire gani
+5
Arthur Edward Waite is a prominent figure in the history of grimoires, particularly his work "The Book of Ceremonial Magic," which synthesizes and analyzes various famous grimoires. This book, originally titled "The Book of Black Magic and of Pacts," attempts to provide a coherent understanding of Western occultism and ceremonial magic, including the history, theology, and practical details of various grimoires.

mkuu usichoelewa nn adi apa? mnataka jamaa afunguke vp zaidi ya apa? mbna kashaeleza apa kuna mambo ma3-kusinya mkataba wa siri kuu, hlf utekelezaji unaanza chap ndoapo mambo ya kufokoana yanafanyika bila hila wala chuki hlf bdae ghafla bin vuu nawew unajikuta unasukuma ndinga za hatare kama yule jamaa jina lake linafanana na munguupendo. bado ujaelewa kiongozi?
Basi inatosha uko siwezi ingia
 
Back
Top Bottom