Nimeupenda ukauzu wa Dr. Maghufuli

Nimeupenda ukauzu wa Dr. Maghufuli

Haya bana..kama mume kuambatana na mkewe ni kujivuna sijui akichaguliwa itakuwaje
Unajua mtu kumuweka mke kwenye kampein unaangalia na uwezo wake wa elimu ba uelewa. Kwa.mfano mimi mke wangu ni mwalimu wa shule ya msingi ataweza nini jamani ? lazima nimwache asije kunidhalilisha.
 
Usiwe muongo kama lowasa! Ni wapi na lini Lowasa alimtaja JK kuwa ndo .husika? Alkchosema ni kuwa Richmond yalikuwa maahiza ya mkuu wake. Watu wakamuuliza, kwa nafasi ya uwaziri Mkuu, wakubwa wa kazi ni makamu wa rais na raisi, lowasa sema ni nani kati ya hao? Lowasa kimya hadi kesho. Lowasa ni mwizi hata Nyerere anajua.
Wewe mlikaa lini na Nyerere akakuambia kuwa EL ni mwizi, na ulikumbuka kumuuliza kuwa EL aliiba nini na alimwibia Nani na kama aliiba Pesa ilikuwa kiasi gani???.Pia umuulize na NKAPA kwa nini aliamua kumuua huyo jamaa kama alikuwa perfect kiasi hicho!???.
 
Hata nikikuambia nilipokaa na Nyerere hutaamini. Ila kaeni mkijua Uongozi wa nchi haununuliwi. Atakusanya mafiriko viwanja, ila hataweza kufurikisha kura masandukuni.
 
Wana-JF tukomae kuwaparura wagombea, mke na watoto wa Magufuli, Lowassa na wagombea wengine tuwape heshima zao, tuwasitiri, tunawaingiza jamvini kwa tija ipi?!

Wana JF Hola!!

Tumlizoea, kwenye chaguzi nyingi, wagombea kuambatana na wenza wao, kwenye campaign, hii hali imezusha maswali kibao, hasa kwa marafiki zangu wa UKAWA, wamediriki hadi kunitania wakisema Magufuli hana mke, hatutaki Rais bachelor, lakini niliwajibu kuwa ana mke na watoto, ikumbukwe magufuli sio mtu wa kujivuna, Mungu amsaidie, pia anajua anachofanya ni kwa manufaa ya taifa, hata watoto wake wanasoma shule hizi hizi za St Kayumba, hivyo sio mtu wa kujiweka matawi ya juu, Magufuli ana hofu ya mungu kama hutaki kajinyonge. Dkt. Magufuli ni mmoja ya mawaziri wanaoogopwa sana kwa misimamo hata na Rais mwenyewe kwa jambo analoliamini analifanya kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu.

Amemuekeza Kanali Kinana kuwa moja hatapenda kuiona familia yake ikishiriki katika kampeni za urais kwani sitaki familia yangu kujihusisha au kujinasibisha na urais wa nchi.

Nataka nikapambane kufuta hili lililojengeka kwa watoto wa vigogo kubebwa kwenye nafasi za uongozi hata ajira na kuwaacha watoto wa watanzania maskini wakiwa mitaani eti kwa sababu hawana wa kuwashika mikono haki ya Mungu hili nitapambana nalo ili chama hiki kiwe cha wote na nchi hii iwe ya wote.

Hivyo mke wangu naomba aachwe akafundishe,wanangu waendelee na mambo yao na hata ndugu zangu. Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno.

#hapakazitu.
 
Magufuli ni jembe
 
Hana jipya kwa haya mauchafu
 
Attachments

  • 1441902458899.jpg
    1441902458899.jpg
    21.4 KB · Views: 247
Kivuko feki chakavu cha mwaka 1978... kanunua bil 8 za Tshs... alafu inaenda Bangamoyo masaa 3... inapakia watu 300 imeshakufaa...!!!

Bahressa kanunua kivuko cha watu 500, kipya cha mwaka 2014, kwa Bil 6 za tshs... na inaenda Zanzibar kwa Lisaa 1:30 tu... JIULIZE SASA...!!!

Magufuri ndio rais wetu, kafanya mengi mazuri anajipambanua na mafisadi.
 
Mimba ya kwanza alitoa ya pili ikamng'ang'ania.Si mnaona anaongea kwa uhakika.'ana of ya mungu anazaa nje ya ndoa'.
 
Mwigulu anaihujumu kampeni za Magufu? Kwa nini Hataki kufuta maandishi yake barabani na kwenye mawe ati Mwigulu rais 2015?! Kumbuka sija ingia uwanja wa mpira na shoka!
 
mosi, magufuli anaiandaa familia yake kisaikolojia kwani anajua hataambulia huo urais hivyo maisha yaendelee kama kawaida. pili hajui tu kama anajiharibia kwa baba rizwani. hajui kuwa anamsema kikwete na familia yake
 
Hata mi hlo linanishangaza sjawai ona mke wa jamaa jukwaan,itakua ni jambo la kushangaza km mke wake wa ubavu hamuungi mkono halafu nyie mnajitia vimbelembele
 
Acha kudanganya umma et alimzaa long time km unamjua vizur twambie ana umri gani na yuko darasa la ngap au kidato cha ngap km hujui kitu kaa kmia.
 
Back
Top Bottom