Nimeupenda ukauzu wa Dr. Maghufuli

Nimeupenda ukauzu wa Dr. Maghufuli

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
1,204
Reaction score
334
Wana JF Hola!!

Tumlizoea, kwenye chaguzi nyingi, wagombea kuambatana na wenza wao, kwenye campaign, hii hali imezusha maswali kibao, hasa kwa marafiki zangu wa UKAWA, wamediriki hadi kunitania wakisema Magufuli hana mke, hatutaki Rais bachelor, lakini niliwajibu kuwa ana mke na watoto, ikumbukwe magufuli sio mtu wa kujivuna, Mungu amsaidie, pia anajua anachofanya ni kwa manufaa ya taifa, hata watoto wake wanasoma shule hizi hizi za St Kayumba, hivyo sio mtu wa kujiweka matawi ya juu, Magufuli ana hofu ya mungu kama hutaki kajinyonge. Dkt. Magufuli ni mmoja ya mawaziri wanaoogopwa sana kwa misimamo hata na Rais mwenyewe kwa jambo analoliamini analifanya kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu.

Amemuekeza Kanali Kinana kuwa moja hatapenda kuiona familia yake ikishiriki katika kampeni za urais kwani sitaki familia yangu kujihusisha au kujinasibisha na urais wa nchi.

Nataka nikapambane kufuta hili lililojengeka kwa watoto wa vigogo kubebwa kwenye nafasi za uongozi hata ajira na kuwaacha watoto wa watanzania maskini wakiwa mitaani eti kwa sababu hawana wa kuwashika mikono haki ya Mungu hili nitapambana nalo ili chama hiki kiwe cha wote na nchi hii iwe ya wote.

Hivyo mke wangu naomba aachwe akafundishe,wanangu waendelee na mambo yao na hata ndugu zangu. Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno.

#hapakazitu.
 
lowassaa-mabadilikooo imejipost
 
kile kivuko cha bilioni nane cha kwenda Bwagamoyo kiko wapi..
machozi ya wavuvi yanamlilia..
machozi ya wamiliki wa sheli..
machozi ya wanakivukoni wanaozimikiwa na kivuko majini mara kwa mara licha ya kupandishiwa nauli 100%
machozi ya wakandarasi aliowafanyisha kazi akakwepa kuwalipa...
 
Haya bana..kama mume kuambatana na mkewe ni kujivuna sijui akichaguliwa itakuwaje
 
kile kivuko cha bilioni nane cha kwenda Bwagamoyo kiko wapi..
machozi ya wavuvi yanamlilia..
machozi ya wamiliki wa sheli..
machozi ya wanakivukoni wanaozimikiwa na kivuko majini mara kwa mara licha ya kupandishiwa nauli 100%
machozi ya wakandarasi aliowafanyisha kazi akakwepa kuwalipa...

Kivuko feki chakavu cha mwaka 1978... kanunua bil 8 za Tshs... alafu inaenda Bangamoyo masaa 3... inapakia watu 300 imeshakufaa...!!!

Bahressa kanunua kivuko cha watu 500, kipya cha mwaka 2014, kwa Bil 6 za tshs... na inaenda Zanzibar kwa Lisaa 1:30 tu... JIULIZE SASA...!!!
 
ASANTE #JAY ONE
 
na kwel ametumwa huyu.yan mtu anakubali yeye sio mwanasiasa atakuaje rais kama sio mwanasiasa fu.c.k
 
Tunataka viongozi aina ya magufuli siyo mafisadi kama lowasa na kundi lake la waharifu na wezi magufuli atatusaidia sana watanzania.
 
Kivuko feki chakavu cha mwaka 1978... kanunua bil 8 za Tshs... alafu inaenda Bangamoyo masaa 3... inapakia watu 300 imeshakufaa...!!!

Bahressa kanunua kivuko cha watu 500, kipya cha mwaka 2014, kwa Bil 6 za tshs... na inaenda Zanzibar kwa Lisaa 1:30 tu... JIULIZE SASA...!!!

ASANTE #JAY ONE

Sheria ya manunuzi hiyo na madhara yake ndo hayo,, watu wanapiga 10 % zigo anabeba magufuli aisee,, lakini sheria hizi ndo pia hata mzee alipokuwa aicc alipiga percent za kutosha sana hadi kuwa tajiri kiasi hiki,,, kura yangu kwa magufuli, iwe mvua iwe jua au mafuriko, kura yangu kwa magufuli
 
Kivuko feki chakavu cha mwaka 1978... kanunua bil 8 za Tshs... alafu inaenda Bangamoyo masaa 3... inapakia watu 300 imeshakufaa...!!!

Bahressa kanunua kivuko cha watu 500, kipya cha mwaka 2014, kwa Bil 6 za tshs... na inaenda Zanzibar kwa Lisaa 1:30 tu... JIULIZE SASA...!!!

ASANTE #JAY ONE
Hivi unadhani kwenye kununua kivuko cha billioni 8 mtu kama waziri akila cha juu atakula ngapi? Hujiulizi? Huyo mzee wako unayempenda Luwasa, amesababisha nchi hii kulipa Richmond bilioni 63 kila mwezi hulioni. Unakomaa na kivuko ambacho saaaana kama kuna ganji itakuwa bil. 1 na mlolongo wa mgawo.
Tatizo hapa huyu Luwasa ni jizi, jizi, jizi balaaaa!!!
 
Wizara ya ujenzi faini bilioni 900 kwa kutowalipa wakandarasi..
@ #MANDEVIS 😀

Pesa za marafiki zake sijui atazirudishaje? Kama alitarajia atakuwa rais awalipe imekula kwake. Ajiaandae kula mihogo au rushulu, maana lazima watapiga bei kila kitu.
 
Back
Top Bottom