Nimeumizwa tena na mapenzi

Mkuu kwa uzoefu your too young 4 this issue piga kazi upate mgunga watakuja wenyewe wa kila aina achaaaa kulialia mkuu
 
ulipokosea ni kupenda kwa moyo wako wote, usirudie tena
 
Huyo mdada anakupenda km utamwoa oa. Kuku mtamu lakini usimchunguze. Ukimchunguza kila mwanamke ana kasoro zake. Wengine hata hawaombi msamaha
 
Usahihi ni muhimu mno kuliko ukweli na usahihi ndio Uhai wa Uhalisia!!
Mkuu kazi kwako.
 
Fanya mambo mengine achana na mapenzi
 
huyo hakufai asilani
 
uongo,uongo,uongooooo.......Y lakn watu tunadanganyaa
 
fikiri vzr kumbuka yeye ni dini tofauti na wewe so unaweza kuwa na wew kwa sababu tu hajampata wa upande wake na anajiweka kwako kwa kuwa umemwambia kumuoa tu sasa yawezekana kampata wa upande wake na hofu juu ya imani yako inamujia lazima ataanza visa visivyo na maana ili uachane nae na hiyo ndo kupumua kwake
 
Mi nadhani ungempa muda huyo binti kwani ndio mwaka wa kwanza na ndio anaanza kupata uhuru kutoka kwa wazazi hivyo basi kuna mambo mengi bado anajaribu kufanya, sasa ukimuweka ndani saivi ataku sumbua tu hebu muache ale ujana kwanza then akikua ndio mtaelewana. Tatizo lingine we ni mtu mzima ushafanya yako sasa unataka umbanie mtoto wa watu hebu muache kwanza punguza haraka kama wako ni wako tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…