Nimeumizwa tena na mapenzi

Nimeumizwa tena na mapenzi

Mabinti wa chuo wengi ni wa kukusogezea tu semister, bado kichwa kina mambo mengi anawaza kubandika kucha, kubandika wigi, kudanga, kula good times za kutosha katoka home amekuja chuo anaishi free, uhuru wa mende.... Kumuoa unamlazimisha yeye hajafanya maamuzi!!!
Kazi kwako sasa: 1.kumvumilia ukomae nae, au umuache japo akishamegwa megwa afu haoni dalili ya kuambiwa nakuhitaji lazma atajirudisha kwako. 2 kutafuta ambae tayari nae ana mawazo ya kuolewa
Pole
Hehe
 
Pole sn ila Wanachuo mnaongoza kwa kulialia kuumizwa kimapenzi hasa hapa JF. Huyu demu anavutiwa kwako na ahadi ya kumuoa ila mvuto wa kimapenzi na kupenda, moyo wote upo kwa jamaa, huyu mwanamke hakufai coz ni muongo muongo sana na anaroho ngumu na anaweza kufanya chochote bila kujali kama alivyokulaghai kwa kutii basdhi ya masharti ya dini yako. Unaonaje ukaachana na mahusiano kwa muda km mwaka 1 ukapanga mambo yako kwanza kuondoa jinamizi la kuumizwa ili ukaesawa?
 
Hahaa pole sana mkuuu case yako inafanana na yangu...maelezo na vituko vya huyo bibie ndo nnavyofanyiwa mim na huyu mtoto wa st joseph...anarafiki yake huyo ni mwalimu wa hapo chuoni kwao wanaongea nae sana hata nikiwa nae geto bado anachat nae lakin mwanzo nlimuuliza akanambia huyo jamaa yupo mwaka watatu na cku nyingine akajichanganya akasema mwalimu wao wa darasa nikamweleza ukweli kwamba cpendezwi na tabia yake akasema jamaa anajua kuwa yupo na mim bt bado wanachat nae na kuna wengine wanatuma sms za mapenzi nazisoma lakin nakausha kidume kuepusha vidonda vya tumbo.....so mkuu hawa watoto wakike ndo walivyo kama binti unampenda muweke tu ndani mambo mengine ni kawaida kuyafanya
Vidonda vya tumbo na homa ya ini au ngoma kipi hatare ndugu?
 
Mabinti wa chuo wengi ni wa kukusogezea tu semister, bado kichwa kina mambo mengi anawaza kubandika kucha, kubandika wigi, kudanga, kula good times za kutosha katoka home amekuja chuo anaishi free, uhuru wa mende.... Kumuoa unamlazimisha yeye hajafanya maamuzi!!!
Kazi kwako sasa: 1.kumvumilia ukomae nae, au umuache japo akishamegwa megwa afu haoni dalili ya kuambiwa nakuhitaji lazma atajirudisha kwako. 2 kutafuta ambae tayari nae ana mawazo ya kuolewa
Pole


sawa kabisa yaani siongezi neno mamaa,mabinti wa chuo ndivyo walivyo bado wana ndoto hawezi heshimu makubaliano yenu pia tamaa bado ipo kichwani. ni suala la muda tu,akikua anaacha
 
Ni Binti niliekuwa nae kwenye mahusiano karibu mwaka sasa mda wote tukiwa chuoni (mie nikiwa mwaka wa mwisho yeye wa kwanza).Nilimpenda sana kwa moyo wangu wote,kumjali,kumsikiliza,kumsaidia pale anapokwama iwe kifedha,ushauri au kwa namna yoyote ile!!Ni binti pekee katika mahusiano yote nilopita ya nyuma nilieamua kumtambulisha kwa ndugu zangu kwa kuwa nilimuamini sana na kuona anafaa kuwa mke.Alikuwa mkristo lakini akaamua abadilike sababu yangu kuswali,kufunga,kujifunza uislamu,kuvaa mavazi ya kusitiri mda wote, yote haya ni kumuandaa kuwa mke.

Kipindi tukiwa chuoni alikuwa akisumbuliwa sana na wanaume, hakunificha kila aliyekuwa akimsumbua alikuwa akiniambia na kuwablock wote au kuongea nao wasimsumbue!!Kuna jamaa mmoja anasoma nae darasa 1 alikuwa akimsumbua sana nishakuta msg kibao za mapenzi kwenye simu yake nikamshauri amwambie kuwa yupo na mie pia amblock akakubali na kufanya hivo!!Kuna wakati flani jamaa alipata matatizo ya kufiwa na mzazi wake hivyo mpenzi wangu ilibidi awasiliane nae kwakuwa ni mwana darasa mwenzao.Hapo ndipo mawasiliano na jamaa yakaanza tena hakumblock tena wala kuacha kuwasiliana nae baada ya msiba nilimuuliza kwanini anaendelea kuuwasiliana nae akaniambia kuwa jamaa hamsumbui tena anamuheshimu na anafahamu pia binti yupo na mie kwenye mahusiano.

Nilikuta tena msg za mapenzi za jamaa kwe simu ya bibie kwa mara ya pili japo mpenzi wangu alikuwa hajibu nilikasirika sana na kumuuliza kwanini ulinidanganya kuwa jamaa hakusumbui tena akanambia alianza siku moja ya nyuma alitaka kuniambia ila niliwahi kukuta msg za jamaa kwenye simu yake.Nikamwambia sitaki kuona urafiki tena na huyo jamaa nilimwambia kuwa nikaongee nae huyo mwanaume anaemsumbua alikataa akaniambia atamwambia na kuacha kabisa kumtafuta.Nikapotezea wakati wote huo nikiwa naendelea kuchunguza simu ya mpenzi wangu kweli hakuwa anawasiliana nae tena!!na alinionyesha mpaka namba amemblock.

Baada ya kufunga chuo mie nilielekea mkoa mwengine kufwata cheti kwani ndo nilikuwa nishamaliza chuo yeye alitangulia dar.Baadae nikarudi Dar tukapanga tuonane jumamosi nimsindikize hospitali,nilimpeleka hospitali aliingia kufanya ultrasound akaniachia simu yake kubwa(smartphone) alikuwa na simu nyengine ndogo ambayo nilimpa atumie pia tukiwa chuoni hakuitoa kwenye handbag!!Nikawa naangalia picha whatsapp nikakuta msg za Yule Yule jamaa na picha ambazo mpenzi wangu alikuwa akimtumia japo sio picha mbaya!Nikanyamza kimya

Jioni baada ya kurudi nyumbani nilimpigia simu na kumuuliza kwanin alinidanganya kuwa hawasiliani nae tena alilia sana kwani nilimshambulia sana,nilishikwa na hasira!!Mpaka dada yake akanipigia simu kumuombea msamaha.Nikamkanya na kumwambia nikikuta tena msg zozote za jamaa ntachukua maamuzi magumu.Sikiushia pale nikapata wasiwasi ikabidi nimtumie jamaa anaemsumbua msg kali kwenye namba yake!!

Jamaa alishangaa sana kwani hakuelewa lolote na hakujua kabisa kuwa binti tuna mahusiano nae alisikitika sana na kujiuliza kwanin anakufanyia hivi wakati mna malengo ya kuja kuwa kwenye ndoa!Kumbe mpenzi wangu alikuwa akinitambulisha kwa jamaa kama rafiki tu!Darasa lao wote walikuwa wakijua ana mahusiano na mshikaji mpaka room mates,rafiki zake walikuwa wakifahamu japo hawakutaka kuniambia.Jamaa alinitumia msg zote walokuwa waki chat na mpenzi wangu kumbe bibie alikuwa akifuta msg alizokuwa akimjibu jamaa.

Tukapanga na mshikaji tukutane mahali halafu nimpigie mpenzi wangu pamoja na dada yake waje.Jamaa alijificha sehemu dada ake alifika ye alikuwa kwenye daladala kwa bahati mbaya alimuona jamaa akapitiliza kituo na kumtumia jamaa msg kuwa anamchukia na hataki kumuona tena.Jamaa alinionyesha msg.Nikampigia simu mpenzi kumuuliza upo wapi mbona hujafika akawa anatoa sababu nyingi za uongo kwani ni kama alichanganyikiwa.Tukaamua kuondoka jioni nilimtumia msg nyingi sana bibie za hasira kwanin aliamua kunifanyia vile nikamtumia msg zote alizokuwa aki chat na jamaa akabaki kuomba tu msamaha.Dada yake akanipigia simu kuniomba msamaha na kunisihi nisiwaambie ndugu zangu kwani tulikuwa kwenye mipango ya kwenda kwao kujitambulisha.

Kweli binti kaomba sana msamaha, anapiga simu sipokei huko kwao wote wanahuzunika,jamaa kanieleza ukweli wote kuwa binti ni walikuwa marafiki japo walikuwa waki chat msg za mapenzi kwani jamaa alikuwa akimtaka na alikuwa akimfukuzia hakujua kuwa binti alikuwa na mahusiano!!ananiambia hawajakutana kimwili japo siamini.

Wana jf wenzangu nimekuja kwenu kupata ushauri,kweli binti huyu anafaa kuwa mke kaamua kunificha mda wote huo,kanidanganya pia!kinachoniuma zaidi ni kumkataza kuwasiliana nae ila aliendelea mpaka tupo hospitali alikuwa akiendelea ku chat nae kwa simu ndogo wakati yupo kwe chumba cha ultrasound mie nikiwa nje na simu kubwa ya smartphone.Nilimuamini sana,nilijitoa sana kwake leo amenifanyia hivi kweli??Je nisingejua angerudi chuoni si ndio angejiachia kabisa na jamaa??Hivi wadada nini mnataka hasa mkiwa kwenye mahusiano??m’me anakujali,anajitunza,hakusaliti vyote utakavyo anakufanyia!!


even salt kakushauri vizuri sana naomba uzingatie ushauri wake ila me nataka nikupe tabia ya mdudu fulani anaitwa chonga huwa anatoboa mti anafanya makazi yake ndani ya mti,mara nyingi hutoboa miti migumu sana lakini siku hayuko salama anaandamwa na adui basi ataliacha hilo shimo lake bila kufikiria machungu ya kulitoboa,nakusihi be real man acha kukumbuka fadhila ulizomfanyia maana ilikuwa part ya majukumu yako au ulitaka classmate amsaidie.
 
Usichunguze simu ya mpenzi wako kama unaona hauna uwezo wa kumuacha.....Over
 
Pole sana.
Historia yako inafanana sana na ya jamaa mmoja nliesoma naye chuo. Tofauti ya miaka ilikuwa sawa na nyie.

Waliongozana kila mahali na binti alimpa jamaa mpaka ATM card yake na password ila jamaa alipomaliza tu chuo story ikabadilika na bint akaamua kumkacha jamaa na kumchukua jamaa mwingine.

Jamaa aliishia tu kulia facebook.
 
Wanawake wote malaya tu, tofauti ni namna ya umalaya wao,
Mwanamke yeyote ukimtongoza bila kukata tamaa utampata, aijalishi itachukuwa muda gani,
Ukiwa na mwanamke acha kumchunguza, itakuchukuwa muda mfipi kumkamata,
Ukimchunguza mwanamke, unaweza usimkamate au ikakuchukuwa muda mrefu kumkamata.
 
Hahaa pole sana mkuuu case yako inafanana na yangu...maelezo na vituko vya huyo bibie ndo nnavyofanyiwa mim na huyu mtoto wa st joseph...anarafiki yake huyo ni mwalimu wa hapo chuoni kwao wanaongea nae sana hata nikiwa nae geto bado anachat nae lakin mwanzo nlimuuliza akanambia huyo jamaa yupo mwaka watatu na cku nyingine akajichanganya akasema mwalimu wao wa darasa nikamweleza ukweli kwamba cpendezwi na tabia yake akasema jamaa anajua kuwa yupo na mim bt bado wanachat nae na kuna wengine wanatuma sms za mapenzi nazisoma lakin nakausha kidume kuepusha vidonda vya tumbo.....so mkuu hawa watoto wakike ndo walivyo kama binti unampenda muweke tu ndani mambo mengine ni kawaida kuyafanya
Huu ndo uwanaume
 
Ww na we .utaoa kimeo hicho .maamuz ni kichwa yako mwenyew basi
 
unataka kuoa?? au unataka kumiliki Mbunye?? jiulize mara nyingi kwanza........hao wadudu ni balaa.....halafu unajishughulisha nae utafikiria mwanao.......sio fungu lako huyo
 
tuatkuamuliaje cha kufanya ...tumi aakili ya kiume....makosa ni kutaka kumchunga sana mwananke.....ukitaka kujua undani usikabe sana...huwezimzuia mtukuwasiiana na mtu kama kuna kuna connection mfano ofisi moja, chuo imoja hasa darasa...au jirani yani mengi....so alikuwa anakudanganya kwa kuwa ulitaka akudanganye kumforce asichat nae ili utulie anadanganya.....alikuwa kiujanja au kimaslahi af ulikuwa chuo...chuo usijiwekee mia kwamia piga buku ukiwa na demu poa tu ila suiweke maanani ...wengine tuliona sana mambo ya mahusiano chuo kunamengi ....wengione wanataka kwaajili ya sex tu wenine pesa wengine company tu..etc....hapo jiongeze pole sana.....anasikitika kwa kuwa mmejua wote so anakosa kote......
 
mkuu ushaur wangu focus kwenye kutzisaka hawa mabint waweke kando hawana la maana cha muhimu doooh
 
duuh pole sana mkuu kwa mabint wachuo hakuna kipya apo thats the way the preffer,,,chamsingi mueke kwenye mizani thn upime if she is worth your forgiveness,,ingawa kumsamehe wkt mwngne huaga ndo inakua a new begining na yenye matunda,,,mm pia i had a situation ila nimei handle nasaiz we are doing fine sana,,so its your shot mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom