Nimeumizwa tena na mapenzi

Nimeumizwa tena na mapenzi

Asante mkuu kwa ushauri!unayosema ni kweli jamaa ni group mate wapo discussion group moja
Yaa najua bcz nishamchukulia mtu demu wake tulikutana tu chuo sasa ile kampan nn kila saa mnaonana anakuja rum kwangu mm naenda rum kwake pia kwahyo demu akampotezea sana jamaa na nilivyomchoka nikanyaka mwngne na yy kachukuliwa tena na jamaa mwngne pale chuo kaachwa tena ndio akili inamrud kwa jamaa yake wa kitaa usiumie sana kuhusu kumegewa nikawaida km bd hujamuoa ukishaoa ndio unaweza kumlinda km unavyofanya
 
Mabinti wa chuo wengi ni wa kukusogezea tu semister, bado kichwa kina mambo mengi anawaza kubandika kucha, kubandika wigi, kudanga, kula good times za kutosha katoka home amekuja chuo anaishi free, uhuru wa mende.... Kumuoa unamlazimisha yeye hajafanya maamuzi!!!
Kazi kwako sasa: 1.kumvumilia ukomae nae, au umuache japo akishamegwa megwa afu haoni dalili ya kuambiwa nakuhitaji lazma atajirudisha kwako. 2 kutafuta ambae tayari nae ana mawazo ya kuolewa
Pole
Yeye ndo alikuwa analazimisha sana mimi kumtambulisha kwetu!mpaka kufikia hatua ya kujifunza uislamu,kuswali na kufunga ndo vitu vilivyonifanya nami kuwaambia ndugu zangu japo mwanzo sikuwa tayari
 
Kama Salt alivyosema huyo mdada unamuwahisha kuolewa ila hiyo sio sababu ya kumuacha huwezi pata mwenzi perfect. Kaza roho muoe hivyo hivyo ila mpe muda Kidogo usiwahishe mambo au tafuta majanga mengine
Mkuu yeye ndo alikuwa analazimisha sana nimtambulishe kwa ndugu zangu!alilalamika sana kwani nilikuwa namzungusha ikabidi tu nimkubalie kwani nilijua ana nia kweli na mie
 
as
In real situation unapomweleza mpenz wako aachane na KTU fulan hupendezew nacho den anakubaliana naww japokua afany vile ulvyomweleza alafu unakuja unagundua unamsameh anarudia tena .-- hapo INA maansha yule mwngne ananguv kulko wew ndomana usikilzwi kwahyo wew hapo unalazimisha mapenz na SKU zote ukilazimisha mapenz jiandae kuumizwa tu Bloo.PGA chin chin tu huyo abadilik atakuja kukupa mastress mengne makubwa
ante mkuu kwa ushauri
 
Kama Salt alivyosema huyo mdada unamuwahisha kuolewa ila hiyo sio sababu ya kumuacha huwezi pata mwenzi perfect. Kaza roho muoe hivyo hivyo ila mpe muda Kidogo usiwahishe mambo au tafuta majanga mengine
Mdada mwenyewe ndo alikuwa analazimisha sana kumtambulisha kwetu na kupeleka barua ya utambulisho kwao nilikuwa nagoma sana mwanzoni ila akalalamika na kuniambia nia yangu ni kumchezea!ikabidi nimkubalie kwenda kwao November!
asante mkuu kwa ushauri
 
Nilikielewa wewe unamlazimisha kuja kumuoa wakati mwenzako/binti ujana hajaula.unataka kuja kujuta maishani mwako?endelea kukomaa Nayee.
Mkuu binti ndo alikuwa analazimisha sana nimtambulishe kwetu alilalamika sana mwanzoni kuwa sitaki awajue ndgu zangu ikabidi tu nifanye mchakato wa kwenda kwao kujitambulisha nashkuru nimeujua ukweli kabla ya kufanya hivyo
 
Uvumilivu unahitajika mkuu, hakuna wa peke yako tena huyo bado mshamba wa kucheat hadi unamfuma, kuna wengine wana hadi wanaume wanne na wala huwezi jua kwa tekniki zao walivyo wajanja,
Pia chunguza kama yupo siriaz kufata imani yako, yawezekana ukaona kapenda kumbe kaangalia maslahi zaidi kua utamjali kwa kuonyesha yupo tayari hata kubadili imani yake lakini kumbe hana mpango huo.
Na anapokutana na mwingine anaempenda na imani yao ni moja basi na nguvu ya upendo inaelekea kwake zaidi yako.
 
Yaa najua bcz nishamchukulia mtu demu wake tulikutana tu chuo sasa ile kampan nn kila saa mnaonana anakuja rum kwangu mm naenda rum kwake pia kwahyo demu akampotezea sana jamaa na nilivyomchoka nikanyaka mwngne na yy kachukuliwa tena na jamaa mwngne pale chuo kaachwa tena ndio akili inamrud kwa jamaa yake wa kitaa usiumie sana kuhusu kumegewa nikawaida km bd hujamuoa ukishaoa ndio unaweza kumlinda km unavyofanya
Ni kweli mkuu sijui kwanin hawa wadada wapo hivi kuzoeana sana na wanaosoma nao kunawafanya wawasahau watu wenye malengo nao baadae sana ndo wanakuja kujutia
 
Story inataka ifanane na yangu cha kufanya achana na huyo binti yashanitokea najuta kupoteza mda wangu na kumsaidia huku mimi nikijinyima nikijua atakuja kuwa mke wangu daaaah wanawake watu wabaya sana.one day atanikumbuka.mtu unamjali kushinda mamaako mzazi lakini bado anakusaliti uwongo mwingiiii
 
Uvumilivu unahitajika mkuu, hakuna wa peke yako tena huyo bado mshamba wa kucheat hadi unamfuma, kuna wengine wana hadi wanaume wanne na wala huwezi jua kwa tekniki zao walivyo wajanja,
Pia chunguza kama yupo siriaz kufata imani yako, yawezekana ukaona kapenda kumbe kaangalia maslahi zaidi kua utamjali kwa kuonyesha yupo tayari hata kubadili imani yake lakini kumbe hana mpango huo.
Na anapokutana na mwingine anaempenda na imani yao ni moja basi na nguvu ya upendo inaelekea kwake zaidi yako.
Asante sana mkuu!
Cha kushangaza jamaa anae cheat nae ni muislamu kama mie tu!!Na walikutana kwenye group lao la darasan (discussion)
 
Story inataka ifanane na yangu cha kufanya achana na huyo binti yashanitokea najuta kupoteza mda wangu na kumsaidia huku mimi nikijinyima nikijua atakuja kuwa mke wangu daaaah wanawake watu wabaya sana.one day atanikumbuka.mtu unamjali kushinda mamaako mzazi lakini bado anakusaliti uwongo mwingiiii
Ni kweli mkuu ukishamuacha ndo huwa anajuta!!Sa hivi anatuma msg kibao hapa za kutishia kujiua akinikosa nacheka tu kwa dharau
 
ukiendelea kuwa na huyo mwanamke tenga fungu kwaajili ya kwenda kutibiwa INDIA, nawasilisha
 
Everybody is a bloody cheat...its just a matter of motive and opportunity..once a cheat always a cheat.
 
Mkuu binti ndo alikuwa analazimisha sana nimtambulishe kwetu alilalamika sana mwanzoni kuwa sitaki awajue ndgu zangu ikabidi tu nifanye mchakato wa kwenda kwao kujitambulisha nashkuru nimeujua ukweli kabla ya kufanya hivyo
Sasa ndio usimpe nafasi ya kuutawala moyo wako..!lakini MPE nafasi nyingine chini ya uangalizi(kumchunguza) ikiwa bado unampenda sababu moyo machine.
 
Kaka pole kwanza mabinti wachuo hawafai kwakuwawekea malengo coz watakuona ww Co type yake

Pile umefanya kosa kuweka nguvu kubwaa kwamwanamke Wachuo so yeye still anawazazi wake wanamsomesha ww kiherehere chann kwanza kumpa huduma kwani amekua mwanao acha uzembe wakuwaza

Kwanza inawezekana unawadogo zako wanahitaji msaaada au ndugu huwapi msaaada umekalia kuwaza kufrahisha mtoto aliezaliwa nawengine badilika.

Tatu achana nae coz huyo keshakua malaya mgawaji mzuritu ila umekua kupofu unamaacho Lakin huoni badilika tafuta maisha brother
 
mh!!!! pole sana mkuu usichoke jaribu kuongea nae tena na tena mweleze unavyojisikia mweleze kuwa unampenda na una malengo naye, hayo ni majaribu ya ujana tu mkuu, silaha kubwa katika mapenzi ni uvumilivu, muombe Mungu ipo siku atatulia tu. kwenye ndoa utakutana na makubwa kuliko hayo cha muhimu ni kupiga moyo konde yataisha tu na atatulia tu mkuu usijipe stress. huu mchezo hauhitaji hasira kaka yangu
 
Asante sana mkuu!
Cha kushangaza jamaa anae cheat nae ni muislamu kama mie tu!!Na walikutana kwenye group lao la darasan (discussion)
Basi utoto unamsumbua huyo, mvumilie tuu akue maana chuo ndo mahali pake pa kujifunzia mapenzi kwa wale waliokua waoga kabla ya kufika hapo.
Ungemsubiri akamaliza chuo kwanza ndio umwambie afanye maamuzi upya ya kuolewa au la kabadili msimamo, sasa hivi hawezi kua mkweli kwa asilimia zote kwa kua inawezakana udhamini wako unahitajika bado wakati akiwa chuo.
 
anafaaa kuwa mke ila siyo kwa sasa ... mpe muda ale ujana kwanza muda ukifika atafaa tu.
 
sijasoma hata kidogo ila heading tu. Hivi mtu unakubalije kuumizwa kila wakati? be yourself and be still and firm
 
Yeye ndo alikuwa analazimisha sana mimi kumtambulisha kwetu!mpaka kufikia hatua ya kujifunza uislamu,kuswali na kufunga ndo vitu vilivyonifanya nami kuwaambia ndugu zangu japo mwanzo sikuwa tayari
Basi muache make ndoa ni makubaliano ya wawili, wakati ye anataka we hukutaka, sahivi we unataka ye hataki....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom