Nimeumizwa tena na mapenzi

Hehe
 
Pole sn ila Wanachuo mnaongoza kwa kulialia kuumizwa kimapenzi hasa hapa JF. Huyu demu anavutiwa kwako na ahadi ya kumuoa ila mvuto wa kimapenzi na kupenda, moyo wote upo kwa jamaa, huyu mwanamke hakufai coz ni muongo muongo sana na anaroho ngumu na anaweza kufanya chochote bila kujali kama alivyokulaghai kwa kutii basdhi ya masharti ya dini yako. Unaonaje ukaachana na mahusiano kwa muda km mwaka 1 ukapanga mambo yako kwanza kuondoa jinamizi la kuumizwa ili ukaesawa?
 
Vidonda vya tumbo na homa ya ini au ngoma kipi hatare ndugu?
 


sawa kabisa yaani siongezi neno mamaa,mabinti wa chuo ndivyo walivyo bado wana ndoto hawezi heshimu makubaliano yenu pia tamaa bado ipo kichwani. ni suala la muda tu,akikua anaacha
 


even salt kakushauri vizuri sana naomba uzingatie ushauri wake ila me nataka nikupe tabia ya mdudu fulani anaitwa chonga huwa anatoboa mti anafanya makazi yake ndani ya mti,mara nyingi hutoboa miti migumu sana lakini siku hayuko salama anaandamwa na adui basi ataliacha hilo shimo lake bila kufikiria machungu ya kulitoboa,nakusihi be real man acha kukumbuka fadhila ulizomfanyia maana ilikuwa part ya majukumu yako au ulitaka classmate amsaidie.
 
Usichunguze simu ya mpenzi wako kama unaona hauna uwezo wa kumuacha.....Over
 
Pole sana.
Historia yako inafanana sana na ya jamaa mmoja nliesoma naye chuo. Tofauti ya miaka ilikuwa sawa na nyie.

Waliongozana kila mahali na binti alimpa jamaa mpaka ATM card yake na password ila jamaa alipomaliza tu chuo story ikabadilika na bint akaamua kumkacha jamaa na kumchukua jamaa mwingine.

Jamaa aliishia tu kulia facebook.
 
Wanawake wote malaya tu, tofauti ni namna ya umalaya wao,
Mwanamke yeyote ukimtongoza bila kukata tamaa utampata, aijalishi itachukuwa muda gani,
Ukiwa na mwanamke acha kumchunguza, itakuchukuwa muda mfipi kumkamata,
Ukimchunguza mwanamke, unaweza usimkamate au ikakuchukuwa muda mrefu kumkamata.
 
Huu ndo uwanaume
 
Ww na we .utaoa kimeo hicho .maamuz ni kichwa yako mwenyew basi
 
unataka kuoa?? au unataka kumiliki Mbunye?? jiulize mara nyingi kwanza........hao wadudu ni balaa.....halafu unajishughulisha nae utafikiria mwanao.......sio fungu lako huyo
 
tuatkuamuliaje cha kufanya ...tumi aakili ya kiume....makosa ni kutaka kumchunga sana mwananke.....ukitaka kujua undani usikabe sana...huwezimzuia mtukuwasiiana na mtu kama kuna kuna connection mfano ofisi moja, chuo imoja hasa darasa...au jirani yani mengi....so alikuwa anakudanganya kwa kuwa ulitaka akudanganye kumforce asichat nae ili utulie anadanganya.....alikuwa kiujanja au kimaslahi af ulikuwa chuo...chuo usijiwekee mia kwamia piga buku ukiwa na demu poa tu ila suiweke maanani ...wengine tuliona sana mambo ya mahusiano chuo kunamengi ....wengione wanataka kwaajili ya sex tu wenine pesa wengine company tu..etc....hapo jiongeze pole sana.....anasikitika kwa kuwa mmejua wote so anakosa kote......
 
mkuu ushaur wangu focus kwenye kutzisaka hawa mabint waweke kando hawana la maana cha muhimu doooh
 
duuh pole sana mkuu kwa mabint wachuo hakuna kipya apo thats the way the preffer,,,chamsingi mueke kwenye mizani thn upime if she is worth your forgiveness,,ingawa kumsamehe wkt mwngne huaga ndo inakua a new begining na yenye matunda,,,mm pia i had a situation ila nimei handle nasaiz we are doing fine sana,,so its your shot mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…