Yaa najua bcz nishamchukulia mtu demu wake tulikutana tu chuo sasa ile kampan nn kila saa mnaonana anakuja rum kwangu mm naenda rum kwake pia kwahyo demu akampotezea sana jamaa na nilivyomchoka nikanyaka mwngne na yy kachukuliwa tena na jamaa mwngne pale chuo kaachwa tena ndio akili inamrud kwa jamaa yake wa kitaa usiumie sana kuhusu kumegewa nikawaida km bd hujamuoa ukishaoa ndio unaweza kumlinda km unavyofanyaAsante mkuu kwa ushauri!unayosema ni kweli jamaa ni group mate wapo discussion group moja
Yeye ndo alikuwa analazimisha sana mimi kumtambulisha kwetu!mpaka kufikia hatua ya kujifunza uislamu,kuswali na kufunga ndo vitu vilivyonifanya nami kuwaambia ndugu zangu japo mwanzo sikuwa tayariMabinti wa chuo wengi ni wa kukusogezea tu semister, bado kichwa kina mambo mengi anawaza kubandika kucha, kubandika wigi, kudanga, kula good times za kutosha katoka home amekuja chuo anaishi free, uhuru wa mende.... Kumuoa unamlazimisha yeye hajafanya maamuzi!!!
Kazi kwako sasa: 1.kumvumilia ukomae nae, au umuache japo akishamegwa megwa afu haoni dalili ya kuambiwa nakuhitaji lazma atajirudisha kwako. 2 kutafuta ambae tayari nae ana mawazo ya kuolewa
Pole
Mkuu yeye ndo alikuwa analazimisha sana nimtambulishe kwa ndugu zangu!alilalamika sana kwani nilikuwa namzungusha ikabidi tu nimkubalie kwani nilijua ana nia kweli na mieKama Salt alivyosema huyo mdada unamuwahisha kuolewa ila hiyo sio sababu ya kumuacha huwezi pata mwenzi perfect. Kaza roho muoe hivyo hivyo ila mpe muda Kidogo usiwahishe mambo au tafuta majanga mengine
ante mkuu kwa ushauriIn real situation unapomweleza mpenz wako aachane na KTU fulan hupendezew nacho den anakubaliana naww japokua afany vile ulvyomweleza alafu unakuja unagundua unamsameh anarudia tena .-- hapo INA maansha yule mwngne ananguv kulko wew ndomana usikilzwi kwahyo wew hapo unalazimisha mapenz na SKU zote ukilazimisha mapenz jiandae kuumizwa tu Bloo.PGA chin chin tu huyo abadilik atakuja kukupa mastress mengne makubwa
Mdada mwenyewe ndo alikuwa analazimisha sana kumtambulisha kwetu na kupeleka barua ya utambulisho kwao nilikuwa nagoma sana mwanzoni ila akalalamika na kuniambia nia yangu ni kumchezea!ikabidi nimkubalie kwenda kwao November!Kama Salt alivyosema huyo mdada unamuwahisha kuolewa ila hiyo sio sababu ya kumuacha huwezi pata mwenzi perfect. Kaza roho muoe hivyo hivyo ila mpe muda Kidogo usiwahishe mambo au tafuta majanga mengine
Mkuu binti ndo alikuwa analazimisha sana nimtambulishe kwetu alilalamika sana mwanzoni kuwa sitaki awajue ndgu zangu ikabidi tu nifanye mchakato wa kwenda kwao kujitambulisha nashkuru nimeujua ukweli kabla ya kufanya hivyoNilikielewa wewe unamlazimisha kuja kumuoa wakati mwenzako/binti ujana hajaula.unataka kuja kujuta maishani mwako?endelea kukomaa Nayee.
Ni kweli mkuu sijui kwanin hawa wadada wapo hivi kuzoeana sana na wanaosoma nao kunawafanya wawasahau watu wenye malengo nao baadae sana ndo wanakuja kujutiaYaa najua bcz nishamchukulia mtu demu wake tulikutana tu chuo sasa ile kampan nn kila saa mnaonana anakuja rum kwangu mm naenda rum kwake pia kwahyo demu akampotezea sana jamaa na nilivyomchoka nikanyaka mwngne na yy kachukuliwa tena na jamaa mwngne pale chuo kaachwa tena ndio akili inamrud kwa jamaa yake wa kitaa usiumie sana kuhusu kumegewa nikawaida km bd hujamuoa ukishaoa ndio unaweza kumlinda km unavyofanya
Asante sana mkuu!Uvumilivu unahitajika mkuu, hakuna wa peke yako tena huyo bado mshamba wa kucheat hadi unamfuma, kuna wengine wana hadi wanaume wanne na wala huwezi jua kwa tekniki zao walivyo wajanja,
Pia chunguza kama yupo siriaz kufata imani yako, yawezekana ukaona kapenda kumbe kaangalia maslahi zaidi kua utamjali kwa kuonyesha yupo tayari hata kubadili imani yake lakini kumbe hana mpango huo.
Na anapokutana na mwingine anaempenda na imani yao ni moja basi na nguvu ya upendo inaelekea kwake zaidi yako.
Ni kweli mkuu ukishamuacha ndo huwa anajuta!!Sa hivi anatuma msg kibao hapa za kutishia kujiua akinikosa nacheka tu kwa dharauStory inataka ifanane na yangu cha kufanya achana na huyo binti yashanitokea najuta kupoteza mda wangu na kumsaidia huku mimi nikijinyima nikijua atakuja kuwa mke wangu daaaah wanawake watu wabaya sana.one day atanikumbuka.mtu unamjali kushinda mamaako mzazi lakini bado anakusaliti uwongo mwingiiii
Sasa ndio usimpe nafasi ya kuutawala moyo wako..!lakini MPE nafasi nyingine chini ya uangalizi(kumchunguza) ikiwa bado unampenda sababu moyo machine.Mkuu binti ndo alikuwa analazimisha sana nimtambulishe kwetu alilalamika sana mwanzoni kuwa sitaki awajue ndgu zangu ikabidi tu nifanye mchakato wa kwenda kwao kujitambulisha nashkuru nimeujua ukweli kabla ya kufanya hivyo
Basi utoto unamsumbua huyo, mvumilie tuu akue maana chuo ndo mahali pake pa kujifunzia mapenzi kwa wale waliokua waoga kabla ya kufika hapo.Asante sana mkuu!
Cha kushangaza jamaa anae cheat nae ni muislamu kama mie tu!!Na walikutana kwenye group lao la darasan (discussion)
Basi muache make ndoa ni makubaliano ya wawili, wakati ye anataka we hukutaka, sahivi we unataka ye hataki....Yeye ndo alikuwa analazimisha sana mimi kumtambulisha kwetu!mpaka kufikia hatua ya kujifunza uislamu,kuswali na kufunga ndo vitu vilivyonifanya nami kuwaambia ndugu zangu japo mwanzo sikuwa tayari