Nimeumizwa na hili!!

kwani ukilinganishwa na mpiga debe ndo na wewe umekuwa mpiga debe?

Hapo ni kushughulika na self esteem yako
sioni tatizo

hivi mtu akikuambia wewe ni mweupe na hali ni mweusi, utakasirika?
Sababu una uhakika anachokuambia si kweli

Mimi sijabeza ila nilicho maanisha taaluma!!mtangazaji yupo kwenye masscom je mpiga depe wa daladala yupo kwenye taaluma ipi??mpaka alinganishwe na presenter??
 
Kwa mtazamo wangu
mtu kama Zembwela nampa credit nyingi zaidi

From down to top
kwa elimu dunia tu
anapambana/share ofisi na waliosoma
huoni kama ame-achieve na anstahili pongezi?

Anaongea anachoongea kwa upeo wake.
Hata wewe kuna watu ukiwekwa nao waweza kosa cha kuongea, au ukaongea na wasikuelewe kutokana na upeo kuwa tofauti sana.

Namheshimu kwa hilo zembwela.

Kwa baadhi ya watu Zembwela ni pimbi tu kuliko hao unaowaona wewe ndio hawafai....
Ndio maana nikasema kwa baadhi ya watu
 
Ukitazama vyema utaelewa falsafa iliyotumika hapo.
OTIS
Yah jamaa yuko sahihi....unajua siku hizi waandishi na watangazaji hufuata waajiri wao na jamaa zao wanaataka nini then wanafanya hata km si kwa matakwa yao, mfano kuwa mashabiki wa mtu fulani kisiasa km alivyo Kibonde na CCM wala haileti picha nzuri ktk jamii. utakuta kwenye kipindi anatumia muda mwingi kuponda na kufagilia chama fulani na anasahau kuwa yeye hatakiwi kuonyesha wazi.
So hata mimi sioni tofauti.
 
Kwa baadhi ya watu Zembwela ni pimbi tu kuliko hao unaowaona wewe ndio hawafai....
Ndio maana nikasema kwa baadhi ya watu

ule uchambuzi wako wa historia ya bongofleva uliishia wapi?nimesahau ata jukwaa.
 
Kwa baadhi ya watu Zembwela ni pimbi tu kuliko hao unaowaona wewe ndio hawafai....
Ndio maana nikasema kwa baadhi ya watu

huo upimbi wa Zembwela u wapi?
Unajua kuna watu wapuuzi sana, Unamchanganya Zembwela mchekeshaji na mtangazaji, beki hasifiwi kwa kufunga, mtazame Zembwela kwa jicho huru na utagundua kuwa ni mtangazaji ambaye hana biases na anachambua vitu kwa upeo mkubwa. Usifuate mkumbo dogo!
 
Kwa mtazamo wangu
mtu kama Zembwela nampa credit nyingi zaidi

From down to top
kwa elimu dunia tu
anapambana/share ofisi na waliosoma
huoni kama ame-achieve na anstahili pongezi?

Anaongea anachoongea kwa upeo wake.
Hata wewe kuna watu ukiwekwa nao waweza kosa cha kuongea, au ukaongea na wasikuelewe kutokana na upeo kuwa tofauti sana.

Namheshimu kwa hilo zembwela.

Point yangu kulingana na mleta sred ni kuwa suala la kudharauliana lipo complicated sababu kum-judge mwenzio ni kazi inayowezwa na kila binadamu ndio maana nikawataja hao watangazaji wawili ambao wanawagawa watu kimtizamo, hata kama Zembwela ataonekana anafaa vipi kwako au hata kwangu ndio maana nikatumia neno "kwa baadhi ya watu" ataendelea kuonekana pimbi...
Niishie hapo

huo upimbi wa Zembwela u wapi?
Unajua kuna watu wapuuzi sana, Unamchanganya Zembwela mchekeshaji na mtangazaji, beki hasifiwi kwa kufunga, mtazame Zembwela kwa jicho huru na utagundua kuwa ni mtangazaji ambaye hana biases na anachambua vitu kwa upeo mkubwa. Usifuate mkumbo dogo!

Mkuu cheki lugha zako, tusizidishe hisia!
Nisome kati ya mistari mzazi, mi nimesema "baadhi ya watu" coz najua duniani huwezi pendwa na wote hata ufanye nini....
 
Mkuu cheki lugha zako, tusizidishe hisia!
Nisome kati ya mistari mzazi, mi nimesema "baadhi ya watu" coz najua duniani huwezi pendwa na wote hata ufanye nini....

kumbe unazungumzia mapenzi?
Kumpenda mtu ni tofauti na kumpa credit zake, unaweza ukadis ila ukakubali kiaina. Mfano, mimi simpendi Messi a.k.a LM10 hata kidogo, lakini ni ukweli dhahiri kuwa msela ni mqali. Mapenzi yanaendeshwa na hisia, ila credits zinakuwa powered na facts.
Kwa hiyo, hata kama humpendi Zembw, mpe haki yake.
Kuhusu lugha usiwe na wasi, yakiwafika mods kooni watanipiga BAN kama ile ID nyengine.
 
Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma!
Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!
Hii ki2 ina mantiki ww.
tatizo lako by MPIGA DEBE ukadhan wa daladala loh hakuna neno pana ilo na jina ukweli wake kbs.
 
Hii ki2 ina mantiki ww.
tatizo lako by MPIGA DEBE ukadhan wa daladala loh hakuna neno pana ilo na jina ukweli wake kbs.
Kwa upana upi??tujuze MC's wapambe?,dalali??ila mimi naona bado haijafikia hapo unataka kusema Riz khan,Shaka Sari,Vincent Makori nisawa na mpiga debe yoyote yule unayemjua???hapana na kataa!
 
Back
Top Bottom