Historian ya nyuma hainihusu,Mimi naangaria kuanzia tulipokutana nakupewa nafasi ya kuitwa Mke Wangu,kuanzia hapo ukimgusa tu basis hutokuwa salama.Utatia wangapi uchaa mkuu,wewe umemkuta keshapitiwa.
Na huenda hapo ameshapitiwa na kuachea mara kadha wewe ukiwanae na huenda hadi unaweza kufa au kuuawa kwa ajili yake na watu wataendelea kumpitia.
Habeeb Marhan
Sent using Jamii Forums mobile app