Nimeumia sana

Nimeumia sana

You'll be informed, stay tuned

Ebu weka hicho kipisi chini unifafanulie hapo vizuri ukimaliza utakichukua
Nikikiweka chini sitaweza kufafanua ujue! Ngoja kwanza.
 
Atajiburuza nao hivyo hivyo.
Nahofia asije akawehuka
285206_2221165937235_1490282197_2459728_4956942_n-jpg.34563
 
Watu siku izi wanaroho ngumu sana mjin sijui inasababishwa na nn,... Ii dizaini ya kina mange, they don't care people's feelings,inasikitisha sana
Inasababishwa na viongozi wetu.

Kila kitu wanatoa maneno makali,hawana ubinadamu ,muda ote wanawaza kuwakomoa watu Fulani.
Unategemea watu wawe na roho nzuri!!
 
Hata mm huwa nikitafuna mke wa mtu lazima nijisifie kwa watu na mwenye mke ajue. Mzembe ni mwenye mke unaanzaje kuoa kiruka njia?
 
Mkuu hongera sana manake una mda wakutosha wakutaka kujua yalojiri kwa wenyewe..
siku nyengine usipendelee kusogelea ugomvi tena pita mbali sana, unaweza ukaumizwa bila sababu ya msingi..
 
A true story;
Leo jioni nilikuwa narudi katika kazi zangu ghafula nikaona wanaume wawili wanagombana stendi,nikamukaribia mtu mmoja ili nijue nini kimetokea,nikaambiwa hao ni dereva na kondakta wanapigana kisa ni kondakta wake huyo wa zamani kamweleza namna alivyo tembea na mke wa boss wake huyo (dereva) alimwambia siku aliyotembea na mke wake namna alivyovyovaa na uongo aliotunga mkewe,maneno hayo yalimchoma sana huyu mwenye mke ikabidi arudi nyumbani na kumtandika vibaya mkewe ambae ametoroka na hajarudi mpaka jioni,baada ya hapo akarudi stendi na kuanzisha ugomvi na kondakta huyo ambao ulikuwa ni mkali sana kiasi ambacho yule mtuhumiwa ikabidi akimbilie polisi, imeniuma sana najiuliza huyu bwana (kondakta) amepata wapi ujasiri wa kusema kwa wazi uhalifu wake namna ile na uaminifu kwenye ndoa uko wapi,na vipi hatima ya ndoa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukigusa Wangu hakiyanani lazima utembee uchi maisha yako yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Utatia wangapi uchaa mkuu,wewe umemkuta keshapitiwa.
Na huenda hapo ameshapitiwa na kuachea mara kadha wewe ukiwanae na huenda hadi unaweza kufa au kuuawa kwa ajili yake na watu wataendelea kumpitia.

Habeeb Marhan
 
Pole saana kwa kuumia maishamema, mwenyewe nimeumia saana kwa wewe kuumia, hadi nimepatwa na kigugumizi.


Huku mtaani mkuu kuna kila aina ya Umafia jichanganye hayo ni madogo mbona.
Mkuu....,kila MTU ana uwezo wake wa kupokea jambo,,wanawake ni mashweetwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom