Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

Labda ulipania
Siku ingine akija relax...naimagine atakuwa kakuonaje sijui๐Ÿ˜”
Jamaa itakua alipania sana show mwishowe ndio kuumbuka sasa..Au kwa upande wa pili may be mtoto kaumbika af wa moto haswaa ukicheki ni Mara ya kwanza Ku meet nae hapo pia wazungu hua hawachelewi
 
Imagine miaka yote nilomaliza nikutane na jitu kama hii linakuchafua nusu sekunde afu ukute hata hela hana hata ya kutuliza maumivu. Mungu tuhurumie
 
Kwan hata sisi si binadamu kuna muda mifumo inafeli tu sio machine hii kwamba tukiiambia masaa 3 twende

Na mjiongeze mkiona vitu vinazingua mnatumia hata maufund yenu kuturudsha kweny reli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ufanye muda mrefu ili ufaidi nini mkuu? Huo muda si bro uuelekeze kutafuta hela

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
uu ni msiba kabisa
Kabla ya yote niwaombe mods wasiunganishe Uzi huu pia nieleze ukwel cjawahi kuandika bandiko lolote humu jf zaidi ya kusoma Riwaya kule entertainment pia habari za michezo
Niende kwenye mada juzi nimempata mdada mzuri tu nikamtongoza Bahat ikawa upande wangu akanikubalia bhas Jana usiku kaja ghetoni kwangu kwel tumefanya romance ikafika mda Wa mm kufanya shughuli kwel nimeingia sijamaliza hata dakika 2 nikamwaga cha ajabu zaidi nimejitahid kufanya kila njia isimame tena imegoma kabisa imekuja kupata uhai saa 10 asubuhi napo nilivyo jaribu kufanya matokeo yale Yale
Tafadhalini nipeni msaada nimesononeka sana Sina Amani ya moyo Nini kinaweza kuwa tatizo na nifanye Nini madaktari nisaidieni please
Kejeli siyo mzuri ni hayo tu wadau

Huna hisi naye usipanik
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom