Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

Pole kuku mweus itakuwa ulikuwa stressed, uchovu au mtoto ni mzuri mpaka ukawa huamini kama kweli hiyo bahati imekudondokea,
btw, tuliza akili kwanza ukiendelea kusononeka ndo hutosogeza kitu wanasema hiyo hali huwa inatokea.!!
Hii ni kweli kabisa huwana inachangiwa na uchovu sana,usingizi na kuwa over excited yaani kuwa huamini Kama kweli amekupa mzigo.
 
Ebu jaribu haya yanaweza kukusaidia;-
  1. Mazoezi ya kukimbia,push up,kunyanyua vitu vizito..lengo ni kuongeza pumzi
  2. Pata saladi ya matunda ikiwezekana mara 3 kwa siku
  3. Kunywa maji mengi
  4. Pata juisi baridi ambazo ni fresh
  5. Tumia muda mwingi kupumzika
  6. Na ukikutana na mwenzio ajifunze kukuwekea mitego au awe mtundu ili kukuongezea hamu ya kuingia vitani,sio yeye anakuja na kijilaza tu.
nadhani baada ya muda utaona mabadiliko.
Namba 6. Shida malaya hana muda wa kukuandaa anaomba hata usiingize ili awahi kwa mwingine. Kikubwa kijana ajitulize tu mpenzi mmoja
 
kuna demu alikua ananisumbua tangu mwezi wa 10 nilikutana nae maeneo ya mwenge karbia miezi 8 anazingua kuja leo kaja nmempga bao 3, za uhakika kasema ata kesho nkimuitaji atakuja tu
 
ushauri wangu kua free wala usiwaze kuhusu izi mambo punguza papara afu tafta kitoweo ata cha mara 3- kwa wiki
 
Ulikuwa hujiamini amini km ndio kweli mtoto ndio unae wew hapo muda huo, hali ya kawaida lakin ningependa kujua experience yako ya mechi huko nyuma kabla kuwa na huyu ilikuaje?
Kama huna tatizo basi siku zitavyozidi kwenda utamzoea na utarudi kwenye hali yako ya kawaida, tena utakuwa balaa we tulia ondoa mawazo uenjoy. Ila chuo umeshamaliza lakin?
 
Nilikuwa vizur mno sijui nn kimenipata now day but chuo sijamaliza Niko mwaka Wa pili sasa
 
Dogo punguza Nyeto! Hizo ni athari za Punyeto iliyopitiliza kiasi. Next time kabla hujaenda kwenye mchezo, hakikisha hujapiga nyeto kwa siku zisizopungua saba (7) , halafu utaona kama utapata hayo matatizo yaliyokukuta.
 
Pole sana...

Kama ndiyo mara ya kwanza kukutokea hiyo hali, wala siyo tatizo na huna tatizo...

Its all in your mind... inawezekana ulikua kwenye wasi wasi, uwoga, labda ulikua na njaa, labda ulikua hujiamini kama kweli umempata... sii unajua kitu ukikikamia sana mwisho wa siku unaharibu...

Ila kama inakutokea mara kwa mara hapo ndiyo kuna tatizo...

Cc: mahondaw
 
Itakuwa
 
Unaweza kutumiwa kwenye mabasi - ingawa mie sio muuzaji ila vumbi dadeki unakomalia papuchi bao halitoki mpk demu anaweza kukukimbia
Nina mashaka na huyu jamaa ndo mmiliki wa vumbi la kongo maana naona promo zake ni noma

may 1 _2019
 
Kunaday moj nlikua nna duu na manzi moja hiv..
Ile kuanza tu wazungu haoo
Sikuchomoa nkaendelea ku pamp...

Ikaimarika umo umo
Ushauri
Ukimwaga usitoe endelezea umo umoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom