Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

Mzee huyo demu ni mjanja wa town.
Iliwahi nitokea nikapata taabu sana usiku kucha.

Aliporudi mara nyingine nilimuandaa kwa ufundi wa hali ya juu. Hasa baada ya kuulizia.

Nilimuandaa kwa kumpiga sachi mwili wake wote. Kila chuma, pini au sindano.
Hadi shanga nilizipiga sachi nilipoona chuma niliimvua shanga zote.

Mzigo nikawa nakula kiulaini saaana.
Story zilizofuata ni siri yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipaniki hta me ishawai nkuta, nilimpataga dem mkali sana siku ya sex nkaishia mapajan tu na jogoo likalala wakt me huw naunga na la2 kma lakwanza ntawai toa,, nkafanyaje wap dem akasepa, nxt tme shughul aliipata

We tuliza akili tu dem mpya siku zte huw inakuw hvo tena kma unakuw umempenda, usiwazee hii itakuharib kisaikolojiaa

Afu pia before game uwe unapiga hta supu ile asbh kunywa na maji ya kutosha utadinyaa mbka bhs


Sent from my iPhone using JamiiForums
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu jaribu haya yanaweza kukusaidia;-
  1. Mazoezi ya kukimbia,push up,kunyanyua vitu vizito..lengo ni kuongeza pumzi
  2. Pata saladi ya matunda ikiwezekana mara 3 kwa siku
  3. Kunywa maji mengi
  4. Pata juisi baridi ambazo ni fresh
  5. Tumia muda mwingi kupumzika
  6. Na ukikutana na mwenzio ajifunze kukuwekea mitego au awe mtundu ili kukuongezea hamu ya kuingia vitani,sio yeye anakuja na kijilaza tu.
nadhani baada ya muda utaona mabadiliko.
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom